Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika ya Kusini

Isanga family

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
14,573
25,627
Habari wanaJamiiForums,

Nataka kujua kuhusu hili swala la Ubalozi wa nchi yetu kutaka wahanga waliopoteza hati kubwa ya kusafiria kuchangia rand 1000 kama tsh 175,000 kwa kupewa hati ya dharura ya kurudi nyumbani.

Je, hata Balozi za Tanzania nchi zingine ipo hivi? Sasa kuna haja gani ya kutoa taarifa ubalozini pindi unapofika wakati ukipata tatizo, wewe mhanga unatakiwa uchangie gharama za karatasi?

Hati ya dharura kwa Tanzania ni kiasi gani mpaka huku iwe gharama kiasi hicho?
 
Back
Top Bottom