Ubalozi wa tanzania marekani mnatuaibisha kwa barua hii

Mwakalinga Bujo

JF-Expert Member
Oct 22, 2008
2,720
1,438
Hii barua menisikitisha .Inaelekea mwandishi alikurupuka bila kufanyia marekebisho ya kutosha.Inasikitisha watanzania waliopo nje ya nchi ambapo inaaminika ndio wameenda kumchukua utaalamu kwa wenzetu waliyopo mbali kimaendeleo wanafanya makosa ambayo si sawa kwa watu makini.Mbaya hii ni barua maalumu kutoka kwa balozi kwenda kwa Rais.
Inamaana watanzania wenzetu mmeshindwa kutambua makosa ya mchanganyiko wa lugha kati maandishi inayoitambulisha barua hiyo na dhumuni la barua!?,ama nataka kutuonyesha kuwa mmeadhiriwa na lugha ya kigeni kiasi hicho.Busara kwa kuwa ninyi mmeshakuwa sio Watazania hamjui kiswahili sahihi kama mlivyokuwa Tanzania,mngeiandika yote kwa Kimombo.
Nawasilisha
 

Attachments

  • Doc1.docx
    1.1 MB · Views: 92
0 Reactions
Reply
Top Bottom