Hii post inasubiri kupitiwa na Moderators ili iende kwa umma!
Matamko haya Yana umuhimu gani?
Wakianza kulia lia kuwa sijui Iran, China na Russia kuingilia matokeo yao bc na sisi tunakuja na tamko letu, watanzania hatuwezi kuendeshwa na watu wa njeWakapambane na uchaguzu wao
Maana wasijesema urusi wakihack system zao
Mambo ya TZ watuachie wenyewe
Sent from my H3223 using JamiiForums mobile app
Ishapita hio........wanawaaga maboya wao kwa style
Wameshasema watu wayamalize wenyewe waelewane ....watafanya nini tenaWanachukua hatua gani bila kuchelewa?
Wewe ulikuja kupiga kura?
Njoo uandamane uvunjwe mguu!Marekani inasisitiza haki ya maandamano ya amani kueleza maoni yao.
Kunywa soda nakuja kulipa mremboMbona kuna nakala mbili