Ubalozi wa Marekani Tanzania-watangaza fursa kwa vijana wote wenye projects au mawazo ya biashara yatakayosaidia jamii

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,314
33,108
UBALOZI WA MAREKANI TANZANIA-WATANGAZA FURSA KWA VIJANA WOTE WENYE PROJECTS AU MAWAZO YA BIASHARA YATAKAYOSAIDIA JAMII🇹🇿

💰 UTAPEWA MTAJI ZAIDI YA Million.50 Tshs Kuendeleza Project Yako
_____________

U.S Embassy Tanzania-Call For Proposals 2019

Projects yako InataKiwa Iwe inalenga katika maeneo Haya

✅ Projects za Ujasiriamali/ Biashara za jamii
✅ Projects za maswala ya Afya
✅ Projects za mambo ya Elimu
✅ Projects za maendeleo ya Wanawake
✅ Projects za maswala ya Uchumi na Maendeleo
✅ Projects za maswala ya Ulinzi na Usalama
✅ Project za maswala ya Demokrasia

📌 Bonyeza Link- KUPATA MUONGOZO JINSI YA KUANDIKA PROJECT YAKO

📌 Maombi yote yanatumwa , Ubalozi wa marekani Kama ilivyoelekezwa

Mwisho wa Maombi Deadline: July 31,2019

Bonyeza Link-JINSI YA KU-APPLY
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

_____________
Download Hii App Kupata-Fursa Nyingine Kila siku-Apply Online kwa urahisi
👉👉https://play.google.com/store/apps/details?id=com.app.unistoretz
▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬

WARNING🚨: HAKUNA MALIPO YOYOTE YANAYOHITAJIKA KATIKA KUFANYA APPLICATION YAKO

SAIDIA KUSHEA FURSA HII IWEZE KUWAFIKIA WATANZANIA WOTE WENYE UHITAJI WA UDHAMINI WA KUENDELEZA MIRADI YAO NA KIMASOMO🤝🇹🇿
chanzo:Copy & Paste
 
Mkuu Mzizimkavu nithibitishie kwanza iwapo hizo fursa za Wamarekani hutoka kila mwaka au baada ya miaka kadhaa. Nipo serious! Nina peoject ya kufanya mwakani hivyo kutuma maombi kwa wadau kama hao kwangu siyo dhambi.
 
Ahsante Sana Mkuu MWENYEENZI MUNGU AKUBARIKI

Back
Top Bottom