Ubalozi wa Marekani Tanzania waguswa na kifo cha Dr. Reginald MENGI

RUKIA MBONDE

Member
Mar 7, 2019
64
50
1086083
 
Wameguswa kama sisi tulivyoguswa na Michael Jackson. Mod unganisha UZI huu.
 
Mzee Mengi alikuwa mfanyabiashara pekee mzalendo aliyewakilisha Tanzania kitaifa na kimataifa ambaye jumuiya ya kimataifa ilimtambua sijui pengo lake litakuja kuzibwa na Nani . Watu wenye maarifa wa namna hii hutokea mara chache sana. Tunatumaini biashara alizoanzisha za viwanda vya simu, kompyuta na magari zitaendelea
 
Back
Top Bottom