mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,663
- 18,037
Kama ni raia wa Tanzania basi heshimu taratibu, miongozo, na maelekezo yatolewayo na serikali ya Tanzania. Tanzania kwa sasa hatuhitaji chanjo!! Kwa sababu hakuna uhakika kama hii chanjo ni salama na inakinga mtu kwa muda mrefu kiasi gani. Ikizingatiwa kuwa virusi vipya vya Corona vinapatikana Mara kuwa Mara kutokana na corona kujibadilisha (it mutates)!Sijawekwa kwenye bajeti ya Kenya. Mimi ni raia wa Tanzania.