Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,402
- 58,951
SawaNyie hata kupewa tahadhari hamtaki? Haya ndio matatizo ya rais na wafuasi wake. Nimemsikia na bashite akisema waliozikwa usiku ilikuwa ni watu wanachukua majeneza na kuchimba chimba ili ionekane watu wanazika usiku....Nyie bila shaka ni timu moja na hawa. Jichunguzeni roho zenu ni watu msiojali maisha ya watu na ndio tabia ya uongozi uliopo, hii ni hulka ya watu flani.