Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania: Uwezekano wa kupata Corona Dar ni mkubwa

Nyie hata kupewa tahadhari hamtaki? Haya ndio matatizo ya rais na wafuasi wake. Nimemsikia na bashite akisema waliozikwa usiku ilikuwa ni watu wanachukua majeneza na kuchimba chimba ili ionekane watu wanazika usiku....Nyie bila shaka ni timu moja na hawa. Jichunguzeni roho zenu ni watu msiojali maisha ya watu na ndio tabia ya uongozi uliopo, hii ni hulka ya watu flani.
Sawa
 
umeandika kwa uchungu sana na uzalendo, BASHITE alifurahiia mtoto wa Mbowe kuugua Corona, alifanya party ili yule mtoto afe, Mungu kamponya, bashite kwa kutumia genge lake wamemtumia mwanamke kumkamatisha mdude nyangali madawa feki ya kulevya, hii vita naomba CHADEMA wamkabidhi Mungu, yeye aamue
 
Ubalozi wa marekani ni nchi ya marekani ndani ya Tanzania, hivyo kama nchi yao inafuata sheria ya lockdown.

Lazima nao wafuate na hili halina shida. Shida ingekuwa kama marekani ingewaita raia wake watoke Tanzania.

Au kufunga ubalozi ndo tungejadili.
Raia karibia wote waneondoshwa long time.
Wamebaki hao hapo ubalozini.
Hii taarifa inaweza kuwa ni kutengeneza mazinhira ya kufunga ubalozi kwa muda.
 
Wake up in your slumber.Ukinipa jibu kwa nini Ulaya imeshambuliwa sana kuliko Afrika,na kwa nini C-19 imeanzia China halafu ikahamia Korea ya kusini,then ikaenda Ulaya ikamalizia Marekani,na Africa ni kidogo sana nitakuelewa.Otherwise nyamaza,hujui kitu,usiendelee kujitia aibu.
Na kwa ujinga wako unafikiri Korona iliingia dunia nzima kwa wakati mmoja, wala hujui inaisha China lakini Afrika ndiyo kwanza inaanza, vile vile hujui siyo nchi zote zilizoathirika sana, wala hujui karibu madereva wote kutoka TZ wanakutwa na Korona, na hujui kwa nini na ina maana imesambaa sana na wagonjwa wengine hawana dalili zake. Endelea kujipumbaza na kujiliwaza kijinga na kudharau kujikinga kama mafala wengi TZ. Kupata Korona si aibu ila kutojikinga kwa imani za kijinga ni upumbavu kama ukiipata.
 
Ubalozi wa marekani ni nchi ya marekani ndani ya Tanzania, hivyo kama nchi yao inafuata sheria ya lockdown.

Lazima nao wafuate na hili halina shida. Shida ingekuwa kama marekani ingewaita raia wake watoke Tanzania.

Au kufunga ubalozi ndo tungejadili.
Ubalozi wa Marekani umeshawaita wamarekani wote nchini waondoke kama wanataka, kwani hujui hilo? Walifanya hivyo wiki iliyopita.
 
Acha kukufuru we marekani jimbo1 tu kwa cku wanakufa watu zaidi ya 1000 hao ni wale wanaotangazwa tu Sasa lini Tanzania walikufa watu japo 100 tu kwa korona ? Hebu acheni kuwa na mawazo ya kitumwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mie ndiyo balozi wa Marekani aliyesema hayo? Kwani lazima uwe na vifo vingi kufanya lockdown kama Ugannda yenye wagonjwa si zaidi ya 120 na walifanya lockdown toka wana wagonjwa 50? Kuchukua hatua za nchi za magharibi kwa hili ni utumnwa wa akili kwa asiye na akili.
 
Na kwa ujinga wako unafikiri Korona iliingia dunia nzima kwa wakati mmoja, wala hujui inaisha China lakini Afrika ndiyo kwanza inaanza, vile vile hujui siyo nchi zote zilizoathirika sana, wala hujui karibu madereva wote kutoka TZ wanakutwa na Korona, na hujui kwa nini na ina maana imesambaa sana na wagonjwa wengine hawana dalili zake. Endelea kujipumbaza na kujiliwaza kijinga na kudharau kujikinga kama mafala wengi TZ. Kupata Korona si aibu ila kutojikinga kwa imani za kijinga ni upumbavu kama ukiipata.
Nipe majibu ya kitaalamu niliyokuuliza,kama hujui huna authority ya kuzungumzia kuhusu C-19,kaa kimya usipige jaramba.Maswali niliyokuuliza yana majibu ya kitaalamu kabisa,sio huu ujinga unao enezwa na mainstream media,ambao kwa ujinga mlio nao mnadhani ndio ukweli.
 
Inategema na mtaa unaoishi, mimi nimesoma digrii ya pili NA KUISHI CHADRAKA, nikzuri kuliko Masaki, Sawa na mtanzania aliefika Nairobi akaenda kishi kibera ni tofauti na aliyeishi WESTLANDS

Point is, kama US ilivyoratibu kuchukua raia wake TZ, TZ nayo imeratibu kuwachukua raia wake India.
 
wauaji ni wananchi, wanashangilia wenzao wakiteseka, kama si mipaka kufungwa hakuna kiongozi angekufa kwa korona, wote wangeenda nje hasa india ila Mungu kauia iwanyooshe na wao.

Corona inaua ufunge mipaka au lah, so kufunga mipaka ni uzwazwa. Hao waliofunga wameacha kufa?

Leo WHO wanasema corona is here to stay kama ukimwi, yale yale ambayo JPM amekua akihubiri siku zote, so what's the point of lockdown?
 
Ubalozi wa Marekani umeshawaita wamarekani wote nchini waondoke kama wanataka, kwani hujui hilo? Walifanya hivyo wiki iliyopita.
Sasa kitendo cha kutoondoka,ni majibu kwamba hapa ni salama kuliko kwao.
vinginevyo wangekuwa walishaondoka zamani.
 
Raia karibia wote waneondoshwa long time.
Wamebaki hao hapo ubalozini.
Hii taarifa inaweza kuwa ni kutengeneza mazinhira ya kufunga ubalozi kwa muda.
Wawahi tuu,maana hili ni mkama gharika la enzi za nuhu,kama ndo hivyo kila mtu akafie kwao
kwani wao ni watanzania?
 
Sasa kitendo cha kutoondoka,ni majibu kwamba hapa ni salama kuliko kwao.
vinginevyo wangekuwa walishaondoka zamani.
Of course hapa ni salama kuliko hata Afrika kaskazini kwa sasa, ila kwa mwenendo wetu wa kupambana nayo tuombe Mungu tu hatuwezi kuwa kitovu cha Korona Duniani baada ya nchi zote kupambana nayo. Rais kashasema hana uwezo ila kuomba mungu tu, jifunze mengi kwa hiyo kauli.
 
Nipe majibu ya kitaalamu niliyokuuliza,kama hujui huna authority ya kuzungumzia kuhusu C-19,kaa kimya usipige jaramba.Maswali niliyokuuliza yana majibu ya kitaalamu kabisa,sio huu ujinga unao enezwa na mainstream media,ambao kwa ujinga mlio nao mnadhani ndio ukweli.
Maswali uliyoniuliza yanathihirisha ujinga wako, kwa hiyo sina cha kujadili na wehu psychotics who stupidly think Corona can't affect TZ as much as other countries just because the president said so, the president who hides in Chato until forever because this virus is here to stay for a long time.
 
Ubalozi wa Marekani umesema Dar es Salaam ni mkoa ambao hatari ya kupata #CoronaVirus ni kubwa. Wamedai japo serikali haitoi takwimu kuhusu hilo ushahidi wa kimazingira unaonyesha wagonjwa wanaongezeka kwa kasi ndani ya Dar.

Wamedai hospitali nyingi zinahofu kutokana na ukosefu wa vifaa tiba kwa ajili ya kupambana na #COVID19. Serikali ya Tanzania imezuia safari zote za abiria tangu Aprili 11, hivyo ubalozi umewataka raia wake kubaki ndani ili kujikinga na #CoronaVirus

View attachment 1448823
 
Badala ya watu kuchukua tahadhari, wanajifananisha na Marekani> Ujinga ndiyo utakao tuua zaidi, wengi ya watu hapa ni psychotics wanao lazimisha uongo kuwa kweli na ukweli kuwa uongo, cha zaidi hawajui what is right what is wrong. Marekani ilidharau ugonjwa huu na kujifunza kwa vifo, UK na Brazil pia, ila wajinga huku kwetu hawawezi kujifunza hayo na psychotically wanafikiri wako salama na hawawezi kuipata na serikali yetu ipo sahihi. Time will tell. Cha upumbavu zaidi wanafikiri eti korona ikiisha Ulaya na MArekani itaisha kwetu automatically, hawajui maambukizi yapo ila ni slower than in other countries.
 
Maswali uliyoniuliza yanathihirisha ujinga wako, kwa hiyo sina cha kujadili na wehu psychotics who stupidly think Corona can't affect TZ as much as other countries just because the president said so, the president who hides in Chato until forever because this virus is here to stay for a long time.
Umeandika udaku,I am above udaku.I discuss facts.
 
Of course hapa ni salama kuliko hata Afrika kaskazini kwa sasa, ila kwa mwenendo wetu wa kupambana nayo tuombe Mungu tu hatuwezi kuwa kitovu cha Korona Duniani baada ya nchi zote kupambana nayo. Rais kashasema hana uwezo ila kuomba mungu tu, jifunze mengi kwa hiyo kauli.
Nakumbuka kauli kama hii aliitoa waziri mkuu wa italy,je naye ametengwa na nchi nyingine,au kwa kuwa yeye ni mzungu haimhusu?
 
Back
Top Bottom