Ubalozi wa Marekani Kenya watoa tahadhari ya kuwepo kwa shambulio la Kigaidi Jijini Nairobi wakati wowote kuanzia sasa

Kutoa tahadhari ni jambo moja, lkn mbona hawaelekezi hatua za kuchukua katika maeneo husikaa?

binafsi nitawasifu wamarekani pale watakapotoa tahadhari kabla ya kutokea mass shooting(s) nchini kwao.
Ukipewa tafadhali chukua hatua mwenyewe, sasa ndani kwako mpaka mtu mwingine akuelekeñze hatua jamani huo ni uzembe kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukipewa tafadhali chukua hatua mwenyewe, sasa ndani kwako mpaka mtu mwingine akuelekeñze hatua jamani huo ni uzembe kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Siyo anielekeze hatua, aoneshe ugonjwa uko wapi. Ndiyo maana tunashindwa kuwa na imani naye. si ajabu tunamtafuta mchawi, kumbe ndiye awaye yote.
 
Back
Top Bottom