Ubalozi bandia wa Marekani kule Ghana ndani ya kitaa

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,523
47,762
Makubwa, yaani matapeli wabunifu kiasi cha kuwa na ubalozi wa Marekani wenye kutoa visa za Kimarekani zinazokubalika bila matatizo.

=============================================

Ghanaian and Turkish crime rings ‘paid corrupt officials to look the other way’ to illegally obtain authentic documents



The exterior of the fake embassy in Accra, Ghana. Photograph: US Department of State
Authorities in Ghana have busted a fake US embassy in the capital Accra run by a criminal network that for a decade issued illegally obtained authentic visas, the US State Department has said.

Until it was shut down, the sham embassy was housed in a rundown, pink two-storey building with a corrugated iron roof and flew an American flag outside. Inside hung a portrait of the US president, Barack Obama.

“It was not operated by the United States government, but by figures from both Ghanaian and Turkish organised crime rings and a Ghanaian attorney practising immigration and criminal law,” the State Department said in a statement.

Turkish citizens who spoke English and Dutch posed as consular officers and staffed the operation. Investigations also uncovered a fake Dutch embassy, the State Department said.

Officials in the Netherlands were not immediately reachable for comment on Sunday.

The crime ring issued fraudulently obtained but legitimate US visas and false identification documents, including birth certificates at a cost of $6,000 (£4,700) each, the statement said.

During raids that led to a number of arrests, authorities also seized authentic and counterfeit Indian, South African and Schengen zone visas and 150 passports from 10 different countries along with a laptop and smartphones.


FacebookTwitterPinterest
The real US embassy in Accra, Ghana. Photograph: diplomacy.state.gov
The statement did not say how the gang obtained the authentic visas or how many people were believed to have illegally entered the US and other countries using visas issued by the crime ring.

“The criminals running the operation were able to pay off corrupt officials to look the other way, as well as obtain legitimate blank documents to be doctored,” the statement said.

There was no immediate comment from Ghana’s Criminal Investigations Division.

Visas for western countries are in high demand in Africa and embassies say the visa market is a big target for organised crime.

The real US embassy in Ghana is a prominent and heavily fortified complex in Cantonments, one of the capital’s most expensive neighbourhoods. Lines of people queue outside each day for visa appointments and other consular business.

The fake embassy was open three mornings a week and did not accept walk-in appointments. Instead, the criminals advertised on billboards in Ghana, Togo and Ivory Coast and brought clients from across west Africa to Accra where they rented them hotel rooms in nearby hotels.

US authorities conducting a broader security operation were tipped off about it and assembled a team including the Ghana Detectives Bureau and police as well as other international partners to shut down the ring.

Fake US embassy in Ghana shut down after 10 years issuing visas
 
duuuh watu noma sikuwahi fikiri watu wanaweza kodi mjengo wote huo na kufanya procces za visa waziwazi bila kugundulika kwa mda mrefu,visa yenyewe kabisa manina heshima kwenu wana ghanaa mmetisha kwa kweli full usalama bendera ya usa yapepea
 
Binadamu anatisha aisee
Hawa jamaa watakua na yale maujanja anayosimuliaga brother mshana jr
 
Hahahahahahahaah ubunifu wa aina yake na watu wanapiga mbungi kawaida 10 yrs ? utani huuu
 
Maafisa wa usalama nchini Ghana wamewakamata watu watatu kwa kuhusishwa na kuwa na ubalozi bandia wa Marekani mjini Accra ambao umetumika kuwalaghai raia maelfu ya fedha kwa miaka 10.

Idadi kamili ya walaghai hao haijabainika, lakini walifumaniwa na polisi wa Ghana wakisaidiana na maafisa wa usalama wa ubalozi wa Marekani. Kwa sasa waliokamatwa wanahojiwa ili kuelezea zaidi kuhusu udanganyifu huo.

Genge linalosimamia ubalozi bandia liliwatafuta wateja kutoka mataifa jirani na ndani ya nchi kisha kuwaleta kwenye jengo lililokua na bendera ya Marekani. Kila mteja aliyekata kupata Visa ya kusafiri Marekani alitozwa dola 6,000. Baadhi ya Visa hata hivyo zilikua halisi, hali inayozua wasi wasi kwamba huenda walishirikiana na baadhi ya wafanyikazi wa ubalozi wa Marekani mjini Accra.

Waliokamatwa ni wenyeji na raia wa Uturuki.Wengi wa wateja waliodanganywa ni wakaazi wa maeneo ya mashambani, na waliamini ubalozi huo bandia baada ya kukutana na wanachama wa genge hilo kutoka Uturuki. Ubalozi huo bandia pia haukuwekwa kwenye mtandao na waliwapata wateja kwa kuzungumza na raia.

Chanzo: BBC
 
USA baby....ndoto ya walio wengi ni kufika huko.

Ni wajinga wenye ndoto hizo kama wajinga wengi walio huko USA.

USA/Europe waafrika wengi wanafanya kazi za kudhalilisha, malipo madogo kulingana na gharama za maisha and under very poor working conditions.

Wajinga wengi hufikiria wapi pa kwenda badala ya nini ufanye wapi ulipo.

ama kweli, waache wafu wazike wafu wao - Yesu aliona hili!
 
Duh, hao jamaa ni zaidi ya wafanyakazi hewa Wa TZ, imagine naunda ubalozi hewa wangu tena Wa Marekani.
Najiuliza hapa, hakukuwa na mkanganyiko kwa watu kuhusu balozi hizo? Kwamba naenda ubalozi Wa marekani mwingine atasema huku mwingine Kule. Au Ghana hawana ubalozi kabisa Wa Marekani??
 
Batenga alienda kwa mwalimu
akamkuta anasimamia vijana wake wakifyatua tofali sasa batenga akawa anaongea
Na mwalimu huku anasonta
Na kidole usawa wa matofali
sitori zilipoisha Batenga akaenda
Baada ya siku mwalimu alisafiri
Nje ya nchi batenga akaenda na malorry kupakia tofali wasaidizi
Wa mwalimu wakamuuliza wewe
Vipi unabeba tofali za mwalimu
Batenga akwajibu nyie wajinga nini? Siku ile hamkuona naongea
Na mwalimu tofali aliniuzia
Batenga akapakia tofali akasepa
Mwalimu kuja tofali hakuna kuuliza wakamwambia hali halisi
Yeye mwenyewe akachoka
Akawaambia wamwache mhaya wa watu katumia akili zake
 
Ni wajinga wenye ndoto hizo kama wajinga wengi walio huko USA.

USA/Europe waafrika wengi wanafanya kazi za kudhalilisha, malipo madogo kulingana na gharama za maisha and under very poor working conditions.

Wajinga wengi hufikiria wapi pa kwenda badala ya nini ufanye wapi ulipo.

ama kweli, waache wafu wazike wafu wao - Yesu aliona hili!

Full povu mode:D:D:D
 
Duh, hao jamaa ni zaidi ya wafanyakazi hewa Wa TZ, imagine naunda ubalozi hewa wangu tena Wa Marekani.
Najiuliza hapa, hakukuwa na mkanganyiko kwa watu kuhusu balozi hizo? Kwamba naenda ubalozi Wa marekani mwingine atasema huku mwingine Kule. Au Ghana hawana ubalozi kabisa Wa Marekani??
Nami nimejiuliza hivyo...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom