Ubaguzi wa walimu wasio wazawa washamiri idara ya elimu sekondari Bukoba. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubaguzi wa walimu wasio wazawa washamiri idara ya elimu sekondari Bukoba.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by opportunist2012, Feb 22, 2012.

 1. o

  opportunist2012 Member

  #1
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hawa wakuu wa shule wakishirikiana na afisa elimu sekondari pamoja na afisa taaluma wa manispaa ya Bukoba wanatumia vibaya ofisi ya serikali kwa kuwabagua walimu wasio wazawa wa Bukoba.Kila mwaka wanawapeleka walimu wanaotoka nao sehemu moja kusimamia mitihani ya kitaifa huku wakiwaacha walimu wasio wazawa wa Bukoba ingawa nao wana sifa.Huyu afisa elimu ana marafiki zake wanaosoma open university pamoja ambao kila mwaka lazima awapeleke kusimamia mitihani au semina ya masomo wanayofundisha.Halikadhalika hata katika shule ya sekondari Kahororo ubaguzi wa kikabila umeshika chati.Mkuu wa shule anawabagua walimu wasio wazawa wazi wazi.
   
 2. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Wakuja wanaitwa Nyamahanga!
   
 3. hollo

  hollo JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 781
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Sha!Ubaguzi hauishi?
   
 4. w

  white wizard JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  tuache utani ktk mikoa ambayo bado yana ubaguzi wa makabila ni kgr kama we c muhaya hata mazingira ya kazi yanakuwa magumu sana,kwani ofisi nyingi wana2mia kihaya kama lugha rasmi!na hata wao kwa wao tena wakikutana wanaanza kubaguana mala huyu wa kamachumu,huyu wa karagwe,ni tabu tu.
   
 5. o

  opportunist2012 Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ee bwana unaongea ukweli mtupu.Umeshawahi kuishi Bk nini?wenyewe kwa wenyewe wanabaguana.Mhaya wa Kiziba anambagua Mhaya wa Maruku.Mhaya wa Maruku vile vile anambagua mhaya wa Muleba nk.Huu ndo mchongo wao.
   
 6. o

  opportunist2012 Member

  #6
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  BK ubaguzi kama samaki na maji.Sisi ambao si wazawa hata tukienda dukani au sokoni tunapandishiwa bei bidhaa kwa kuwa ni wakuja.
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,789
  Trophy Points: 280
  kwani wahaya hamuwajui vizuri? sishangai
   
 8. Sanja

  Sanja JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 60
  wanagonga kilugha ofisini kwa D.O sasa ofisi nyingine ambazo si za serikali au zilizo chini yake zinafanyaje?
   
 9. MONSI WENGA

  MONSI WENGA Member

  #9
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Nakumbuka aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa Kagera Kanari MFURU aliwahi kupiga marufuku kuongea kihaya ktk ofisi za serikari Bukoba. Jitihada zinahitajikakukomesha tabia hii kwani kwa Bukoba imezidi.
   
 10. w

  white wizard JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  mi nimeishi sana pale,na kusoma,ilifikia kipindi mwalimu anafundisha kwa kutumia kihaya!ukiuliza kulikoni anakwambia shauri yako!hospital ya serikari ndio usiseme,mtaani mtu anakusalimia kihaya ukisema hujui anakuona unafanya makusudi!hawa wa2 we waone hivyo wakiwa mikoani lakini kwao hawana maana,cha ajabu mnaweza kuwa kwenye shughuli fulani mgeni rasmi anatumia kihaya kuhutubia wageni waalikwa!mi siku moja nilipanda gari kwenda omurushaka,nikawahi kiti cha mbele hee tunafika rwamishenye gari inasimama mzee mmoja anapanda naambiwa nimpishe eti hiyo huwa ni sit yake!kila anaposafiri!ckukubali gari zima wakaanza kunishambulia kwa kuwa mi c muhaya,mbona tulienda hadi polisi,bahati nzuri polisi hakuwa ni muhaya,akawaambia nyie achani ujinga,hizi daladala huwa hazina sit number(tiket)mtu anapowahi ndio kwake.ila mpaka nafika cha moto nilikiona!
   
 11. o

  opportunist2012 Member

  #11
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole sana Wizard kwa yaliyokukuta.Hata mimi nimeexperience the same thing.Nilitaka kukaa kwenye siti ya daladala nikaambiwa hii siti ina mtu.Kweli huku kihaya everywhere.
   
Loading...