Ubaguzi wa rangi na mfumo dume unakwenda kupotea wenyewe

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,532
44,648
Mabadiliko ya kijamii yanayoendelea kutoa yanafanya idea ya Nelson mandela ya kupinga ubaguzi wa rangi kupotea na haitakuwa na mantiki Tena kwa sababu watoto wanaozaliwa Sasa Wengi Ni africast yaani baba mweupe au mzungu au tufanye mchina anakwenda kuzaa na mama wa kiafrica hivyo hazaliwi mtoto mweusi Sana Wala mweupe.zamani Watu walioana wao kwa wao ndo maana matabaka yakawepo Sasa hivi hiko kitu hakipo Tena.
Kuhusu mfumo dume,dini hasa ya kiislam imewaweka chini kidogo wanawake Ina Sheria zake kabisa mfano mwanamke akae home tu asiende kufanya Kazi huko maofisini ila Sasa haitawezekana Tena kwa kuwa hata mashekhe na wachungaji wote wanasomesha watoto wao wa kike na Wengi wanafaulu hata ukifuatilia form six wasichana wanafaulu Sana wanakuwa madokta na wengine ma engineer.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ubaguzi wa rangi na mfumo dume kamwe hautaisha. Ukiangalia umri wa dini zetu, na mpaka leo hayo matendo bado yapo, basi ujue kuwa hayatakwisha. Ubaguzi si kati ya rangi moja na nyingine, hata WaTz na weusi tuliona pia tunabaguana, tunaita ukabila. Mfumo dume hali kadhalika, wanawake wangapi hawapati kazi, vyeo, ufaulu masomoni, fursa mbalimbali bila ya kulalwa (ngono)?
 
Back
Top Bottom