ubaguzi wa kimaeneo aliousema jk ulilenga maeneo gani?

kibenya

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
383
134
ubaguzi huu ni yale maeneo chadema iliyoshinda au yale ccm iliyoshinda au zanzibar ambapo chadema wamepata kura ndogo?WASWAHILI WANASEMA UKICHEZEA MPIRA UKUTANI UTAKURUDIA
 
Mkuu ni ulikuwa ni ule mwendelezo wa kipropaganda kuhusisha chama fulani na watu wa eneo fulani. Ni zile kauli za siku zote kuwa CDM ni chama cha WAchagga na wakristo, ila this time CDM proved them wrong na hiyo hoja imekosa mashiko wamebakiza ya hoja ya udini, ila watanzani si wepesi kudanganyiaka kama CCM wanavyofikiri. Huku mtaani kwetu diwani wa CCM alisambaza picha zake kila kona akifikiri watu wanchagua sura kumbe watu wanachagua sera
 
Back
Top Bottom