Ubaguzi wa CCM unaivuruga nchi!

Sio kweli...hizo ni propaganda za watu tu ambao hawaitakii mema ccm. By z way jpm hawez kuteua wasomi wote sasa eti ili tu kubalance upande flani. Na huwa aangaliii dini ya mtu wala kabila au anatoka wapi maana hawaendi kufanya kazi za kidini/ wala za kimila serikalin...yy anamteua mtu kutokana na sifa na vigezo linganinshi na kazi ambayo anaenda kuifnya...tuache kuwa watu wa kupayuka tu bila kuwa na ufahamu mzur wa mambo.

Kwahiyo kada mwenzetu Kinana alipotoka
 
Hamna ubaguzi ndani ya ccm hata siku moja...watu wote wanafulsa sawa ndyo maana chama kinazid kuimarika siku hadi siku. Na nyumbu kawaida yenu kusema hovyo so tushawazoea. Na dhambi yenu ya ubaguzi ndyo inayotafuna chama chenu siku zote.
Kaa uzoee jukwa hili ,siyo unakuja jana toka face book unajifanya mjuaji kwa harisha utumbo hapa

wanafulsa. = wanafursa
 
Siwez jibishana na watu ambao hata hawajui nini wanasimamia katika chama chao..kila siku kubadili gia angani tu. Mnashinda kutwa kupayuka tu hamtak kufanya kazi kwa bidii halafu mnakaa mnasema ooh ccm imefany hivi mara imefanya kile...ninyi manyumbu mnatabu sanA.
 
Back
Top Bottom