Tetesi: Ubaguzi wa ajira kwenye Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

Kwaiyo ubaguzi au sio ubaguzi mkuu?
Ubaguzi wa serikali kwa watu wake haukubaliki.Na pia baina ya watu na watu halikubaliki.Ila la watu na watu ni jambo la kusadikika.Kila nchi mara nyingi lipo.Mfano kanda ya ziwa labda na pande za kusini ama wachaga na makabila mengine .Ila haihalalishi Raisi Magufuli serikali yake ifanye upendeleo.Vivyo hivyo kwa nchi nyengine ubaguzi wa watu kwa watu ama kabila kwa kabila hailalishi na serikali iwe hivyo.
 
Syria unaenda kutafuta jiko ?
Kwani hujasikia ust Trump karusha mawe Syria?
canstockphoto0956054.jpg
 
Huwezi kuadhibu kwa dhambi mwengine.

Unaujua mchakato wa urais Zanzibar unakwendaje????Basi kama hujui Raisi wa Zanzibar hupatikana Dodoma na CCM wa Zanzibar hata wamkatae huku kwao ila Dodoma ndio wanaompitisha so hicho si kigezo.
Unarudi kule kule kwenye spirit ya ubaguzi. Unataka kuniambia mambo anayoyafanya Shein hao waunguja hawakubaliani nayo?.
 
Unajua Yesu aliongea kihivyo wakti gani ktk hali yake ya Ubinadamu Kamili au Uungu Kamili Tatizo lugha Imani ya Wakristo wewe ni giza Nene



Alikuambia wapi kuwa hapa naongea katika hali ya ubinadamu kamili na hapa naongea katika hali ya uungu kamili ??

USIMPAKAZIE YESU
 
Back
Top Bottom