Ubaguzi tunaofanyiwa na Wahindi hapa Tanzania

Ukweli mchungu ni kwamba wametumia miaka mingi sana kulinda kizazi chao mila na desturi zao hivyo hawawezi kukubali ziharibike au kuingiliwa kirahisi hivyo.

Ndio maana hata wazungu wazee wanalalamika sana kitendo cha sisi kuingilia jamii zao maana hapo badae italeta shida sana
Just imagine mzaramo na mmarekani hichi kizazi huko mbeleni kinakuwaje ?

Kwa Maslahi mapana ya dunia yetu acha wajitenge tu hivyo hivyo tu.
 
Habari wana Bodi

Kuna jambo limenifikilisha Sana juu ya Wahindi tunaoishi nao katika jumuia/jamii yetu ya Tanzania. Ukiangalia, hawa Wahindi:

1. Ni wamejitenga na sisi Watanzania weusi na wamekuwa na makazi yao sehemu mahalum. Huwezi kukuta Muhindi anakaa Ukonga, Kimara au Tegeta Kama tunavyokaa sisi ngozi nyeusi.

Wao wamejibagua kwa kukaa huku Posta, Kisutu, Kariakoo, Masaki Oysterbay na maeneo Kama hayo. Na ni nadra Sana kukuta ngozi nyeusi huko.

2. Hawataki kuchangamana na sisi hata kwenye Mambo ya kuoana. Ni nandra au ngumu kuona katika Hali ya kawaida, Muhindi anaolewa/anaoa mswahili. Lakini wanaoana na matabaka mengine.

3. Hawataki kuchangamana nasi hata kwenye Mambo ya elimu. Na ndio maana wana shule zao Kama Aga Khan Mzizima, na huwezi kuwaona Wahindi kwenye shule kama Azania, Pugu, Mzumbe etc. Hii ni kuonyesha ni namna gani wanajibagua kwenye elimu na sisi.

4. Kwenye masuala ya kifedha. Wahindi wamekuwa na Banks zao ambazo wanazitumia kwenye kuendesha Biashara zao.

Baada ya kuandika hayo hapo juu:

Ni kwamba sisi Watanzania wa ngozi nyeusi (ambao sio Wahindi), inatakiwa ituingia kichwani kwamba hawa Wahindi, wanatubagua, hawatupendi na inatupasa tuanze kuchukua njia mbadala kuweza kupunguza na kutokomeza huo ubaguzi wao kwetu.

Tunatakiwa tuanze kuelewa ili swala la kubaguliwa na hawa Wahindi. Na tuje na mipango mikakati.

Tunatakiwa tuliangalie ili jambo kwa maana ubaguzi huu wanaotufanyia ni sawasawa na yale Mambo ya kitumwa waliyokuwa wanatufanyia. Na Sasa hivi tunatakiwa tuyapinge kwa nguvu zote.

Nawasilisha.
Haya ni mawazo mfu.
Shughuli zangu zipo mjini posta,kariakoo na huko zipo nyumba za kupanga why nikae ukonga, mbagala,nk Hali ofisi ipo mjini.
Ujakatazwa kumuoa Muhindi nenda India kabebe contena la wanawake wa kihindi uje nao.
.
 
Mkuu Sky Eclat

Unaposema kuwalazimisha kuoana na sisi ni kuingilia Uhuru wao, lakini hao hao Wahindi wanaoana na races/matabaka mengine lakini sio sisi wa Tanzania weusi.

Kwa mantiki hiyo, na sisi weusi tunatakiwa tuanzishe au tuwe na utamaduni wetu kwa mfano, hatutaki kumuona Muhindi kwenye maeneo yatu, kwa mfano hatutaki kuona gari la Muhindi linapita huku Tegeta, Kigamboni etc.

Wanachotufanyia wao ni ubaguzi na Xenophobia na sisi inatupasa ku reciprocate.
Xhenophobia? Ndio ubaguzi wa rangi?
 
Mkuu Mr. Mzumbe

Huu ni mjadala mpana Sana. Ingawa hapo juu kuna watu wanajibu kitoto Sana.

Ukiangalia kwa makini, je Wahindi wote Wana uwezo? Wana pesa? Jibu ni hapana.

Lakini, utaona Wahindi wote wanaishi mjini na kwenye apartments ambazo wewe mswahili mwenye kipato kizuri ni ngumu ku manage, je huko walipo wote wanalipwa vizuri Sana? Jibu ni hapana, Sasa Kama jibu ni hapana Sasa Kuna uwezekano hawa Wahindi wanasaidiana kwenye kupeana punguzo la Kodi ya pango, na hivyo ndivyo wanavyoweza kuishi, lakini wewe huwezi kupewa hiyo relief ya Kodi Kama hao Wahindi.
Kutengwa ni kukatazwa kufanya jambo

Sasa, kuna mambo kama ya kuoa au kuolewa kama wamekatazana hilo halina shida ni hiyari yao
Lakini mambo ya makazi ambayo sio ya hiyari waswahili hawajakatazwa
Nenda na wewe ukaishi huko kama unamudu akikukataza mtu njoo tupe mrejesho

Hizi hasira zisizo na sababu zinatoka wapi? Au hali ya kiuchumi
Sasa mtu unajudge kwanini wahindi wanasaidiana kwani ni kosa? Ndio ubaguzi? Na sisi si tusaidiane, tatizo letu roho mbaya kama ambayo unaionyesha hapa
Watu wanachangiana maharusi(vitu vya hovyo) lakini sio masuala ya kubebana kimaisha
 
Mkuu nakujibu kama ifuatavyo:

1.Ni human innate behaviour kukaa pamoja with humans who look like them

2.Wahindi ni minority,wana hofu ya genetic annilation,hivyo wanajikusanya ku-resist assimilation kutoka kwa dominant kind

3.Benki ni zao,walianzisha wao,hivyo na sawasawa kuweka pesa zao huko,pia Waafrika wana benki zao walianzisha na wanaweka hela zao huko...Benki ni imani,na people tend kua na imani na people who look like them.

4.Kutoka enzi za ukoloni,Wahindi walikaa mijini na Waafrika walikaa vijijini,na mpaka leo wanakaa maeneo hayo..huwezi pangia watu pa kukaa,huwezi lazimisha wakae na wewe....

5.Kumbuka idadi ya wahindi inapungua Tanzania as time goes on,wanahamia nchi za Ulaya,America na Canada na Kenya na South Africa na India kwao.....idadi inapungua,mwisho wa siku watapotea wote...na sio jambo zuri....

6.Unaelewa Wahindi ni kabila rasmi linatambulika Tanzania,na lilitolewa India na mkoloni kuja kuwasaidia kutawala na walikaa maeneo ya mijini....Hili kabila kupotea ni hasara kwetu kama nchi

7.Makabila yote nchini yana maeneo yao ya kihistoria yalipotoka,husemi wanajitenga,ila Wahindi kua na maeneo yao ya kihistoria tangu ukoloni huko eti unaita eti wanajitenga,nonsense

8.Kimara kuna mitaa imejaa wachagga,Mbezi Beach kuna mitaa imejaa wahaya,Kunduchi kuna mitaa imejaa Wanyakyusa,Mbezi Beach kuna mitaa imejaa Wamakonde,etc....Jamii fulani hua na tendency ya kuita jamii nyenzake wakae pamoja

Ni haki kwa jamii fulani kuhakikisha haipotei,na kuhakikisha inastawi na haimezwi na jamii zingine

Wewe kama jamii yako ni hovyo inajifanya kuhakikisha inapotea kwa genetic annilation ni jamii yako,sio yao...wewe ni wajibu wako kuhakikisha jamii yako haipotei,ila naona unasaidia ipotee
Nakuunga mkono kama ifuatavyo na namba ulivyopangilia.Tumueleweshe mwenzetu aelewe zaidi
3.Wana benki zao ni kweli wanaweza kuwa nazo ila watu wasijidanganye benki zote zinaongozwa na benki kuu.Hata hivyo kisheria haikatazwi kuanzisha bank.Ila ukweli ni kwamba kisheria kuweka hela nyingi ndani ni makosa hivyo kuweka hela zao benki sio kosa ila serikali inazifuatilia.
4.Wanakaa mjini sio uswahilini ni kweli ikumbukwe toka Enzi za ukoloni wao walijenga majumba mijini naweza kusema nyumba za ghorofa zile za kizamani zilikuwa zao.Serikali iliyozitaifisha wakati wa azimio la Arusha haikuwafukuza waliambiwa waendelee kukaa kwenye nyumba zao ila wawe wanalipa kodi kidogo kidogo.Hivyo hadi sasa wanaishi kwenye nyumba zao wanalipa kodi kidogo kidogo hawawezi kuja kukaa na wewe Manzese japo kwa sasa wanakaa vitukuu.
5.Idadi yao inapungua ni kweli sio jambo la afya tunavyofikiri hawa jamaa wana umuhimu mkubwa mno kwenye biashara na uchumi.Idi Amini Dada aliwafukuza wote Uganda uchumi wa Uganda ukaporomoka sana.Wengine walikimbilia Wingereza kule wamekuwa na maendeleo makubwa sana mmoja wao ni bilionea Mudhavani.Hata Marekani Bill Gate kampuni yake asilimia 67% ya wafanyakazi wake ni wahindi hawa jamaa wanajua computer kupita kiasi
8.Kimara utakuta wachaga naongezea ukienda Kitunda utakuta Wakurya ni wengi kupita maelezo wanafanya biashara za kuku na mayai

Naongezea la kwangu hapa wao wenyewe wanabaguana sana ila bila vita mfano watu wa dhehebu la Hindu wao wako tofauti kabisa na dini zingine hawa ni wale wenye vidoti vyekundu usoni.Kuna wenzao wanawaita low caste.
Kuna wahindi waislamu na wakatoliki hawa wakatoliki wanatokea Tamili na Wagoa hawa unaweza hata kula nao ugali wa kisamvu nyumbani kwako.Nimeshashuhudia mhindi wa Tamili alimuoa mwanamke wa Kitanzania.
Kwa kawaida wahindi hawapendi rabsha ni waoga sana wa hali ngumu na vibaka ndio maana wao wanaona mjini ni salama ila huko kwao wako masikini wa kutupwa aheri Tanzania
Hawa ni watanzania wenzetu ila wanaitwa watanzania wenye asili ya Asia wewe na mimi tunaweza kuitwa watanzania wenye asili ya wagogo.
Nyerere pamoja na siasa yake ya ujamaa alijua umuhimu wa hawa watu na ndio maana kiukweli hakuwabugudhi aliwapa upendeleo maalum hata wa kibiashara na ndio maana wakasonga mbele zaidi kibiashara kuliko ngozi nyeusi.
Wako waliochangia sana kupatikana uhuru wa nchi hii kama Alnur Kassum,Amiri Jamal waziri wa fedha wa kwanza baada ya uhuru kina Andy Chande.Kina Kotecha diwani wa Mwanza mjini
 
Huko kwao India, Wahindi wanabaguana wenyewe kwa wenyewe!! Itakuwa wewe mswahili!

Hiyo ni tabia kutoka ndani kabisa, hawawezi kuiacha katu. Ishi nao kibingwa tu
Yaa, nafikiri wahindi wana tabia ya ubaguzi hata kwao wenyewe kuna matabaka. Kuna yale matabaka ya viongozi na wafanyabiashara ni ngumu kuingiliana na jamii nyingine.....kuna jamaa mmoja namjua kaoa mhindi, labda kwa sababu yeye ni tajiri.
 
Bure mnawaogopa hao wahindi mbona ni wa kawaida tu . Hawana ubaguzi wowote tatizo ni tamaduni zetu.
Mabinti wa Kihindi nao wanaona kama sisi tunawabagua, nadra kudate nao wala kuongea nao "nor approach" au wangapi wametaka kuowa wakakataliwa?
 
Hii issue iko very seriously sema wachangiaji wamekunywa togwa so wanaongea ovyo ovyo Tu. Hawa jamaa wanapenda kuzarau ngozi yetu lakini sisi ndio man power wao, aangalia vijakazi town wote black hakuna white au wahindi ndio ujue shida ipo cha msingi saka pesa wakusujudie baaaaasi. Mimi ni dokta by professional hata uku kwetu makazini akija mgonjwa WA type hii na dokta ni black huwa kama hawaliziki kwenye tiba kama wanaona kuna shida shida hivi......anaona body yake ni ya thamani kukuvulia akati Yuko yeye na shida
Unakwama.wapi mkuu timua hayo mapopoma ..
Kuna dogo wa kihindi shuleni flanj nilikuwa nafanya field .

Kanasema eti " wewe shika tupa hii "
Yaanj mwanafunzi ananipa chupa mwalimu nikatupe kwa dustbin?

Mbona alikuwa mwekundu usoni kwa mabanzi...!
 
Bure mnawaogopa hao wahindi mbona ni wa kawaida tu . Hawana ubaguzi wowote tatizo ni tamaduni zetu.
Mabinti wa Kihindi nao wanaona kama sisi tunawabagua, nadra kudate nao wala kuongea nao "nor approach" au wangapi wametaka kuowa wakakataliwa?
Jarjbu uone labda uwe na mawe tu
 
Nakuunga mkono kama ifuatavyo na namba ulivyopangilia.Tumueleweshe mwenzetu aelewe zaidi
3.Wana benki zao ni kweli wanaweza kuwa nazo ila watu wasijidanganye benki zote zinaongozwa na benki kuu.Hata hivyo kisheria haikatazwi kuanzisha bank.Ila ukweli ni kwamba kisheria kuweka hela nyingi ndani ni makosa hivyo kuweka hela zao benki sio kosa ila serikali inazifuatilia.
4.Wanakaa mjini sio uswahilini ni kweli ikumbukwe toka Enzi za ukoloni wao walijenga majumba mijini naweza kusema nyumba za ghorofa zile za kizamani zilikuwa zao.Serikali iliyozitaifisha wakati wa azimio la Arusha haikuwafukuza waliambiwa waendelee kukaa kwenye nyumba zao ila wawe wanalipa kodi kidogo kidogo.Hivyo hadi sasa wanaishi kwenye nyumba zao wanalipa kodi kidogo kidogo hawawezi kuja kukaa na wewe Manzese japo kwa sasa wanakaa vitukuu.
5.Idadi yao inapungua ni kweli sio jambo la afya tunavyofikiri hawa jamaa wana umuhimu mkubwa mno kwenye biashara na uchumi.Idi Amini Dada aliwafukuza wote Uganda uchumi wa Uganda ukaporomoka sana.Wengine walikimbilia Wingereza kule wamekuwa na maendeleo makubwa sana mmoja wao ni bilionea Mudhavani.Hata Marekani Bill Gate kampuni yake asilimia 67% ya wafanyakazi wake ni wahindi hawa jamaa wanajua computer kupita kiasi
8.Kimara utakuta wachaga naongezea ukienda Kitunda utakuta Wakurya ni wengi kupita maelezo wanafanya biashara za kuku na mayai

Naongezea la kwangu hapa wao wenyewe wanabaguana sana ila bila vita mfano watu wa dhehebu la Hindu wao wako tofauti kabisa na dini zingine hawa ni wale wenye vidoti vyekundu usoni.Kuna wenzao wanawaita low caste.
Kuna wahindi waislamu na wakatoliki hawa wakatoliki wanatokea Tamili na Wagoa hawa unaweza hata kula nao ugali wa kisamvu nyumbani kwako.Nimeshashuhudia mhindi wa Tamili alimuoa mwanamke wa Kitanzania.
Kwa kawaida wahindi hawapendi rabsha ni waoga sana wa hali ngumu na vibaka ndio maana wao wanaona mjini ni salama ila huko kwao wako masikini wa kutupwa aheri Tanzania
Hawa ni watanzania wenzetu ila wanaitwa watanzania wenye asili ya Asia wewe na mimi tunaweza kuitwa watanzania wenye asili ya wagogo.
Nyerere pamoja na siasa yake ya ujamaa alijua umuhimu wa hawa watu na ndio maana kiukweli hakuwabugudhi aliwapa upendeleo maalum hata wa kibiashara na ndio maana wakasonga mbele zaidi kibiashara kuliko ngozi nyeusi.
Wako waliochangia sana kupatikana uhuru wa nchi hii kama Alnur Kassum,Amiri Jamal waziri wa fedha wa kwanza baada ya uhuru kina Andy Chande.Kina Kotecha diwani wa Mwanza mjini
Acha upumbavu!

Inferior. Complex inakusumbua

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom