KING DUBU
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 919
- 1,239
Kwa masikitiko makubwa sana wazazi na wahitimu wa ualimu wa masomo ya Sanaa katika awamu ya uongozi huu wanaskitika kwani unaonyesha ubaguzi wa Hali ya juu kwa visingizio vya kukuza sayansi nchini.
Hivyo walimu wa arts wanaonekana si kitu chochote na hivyo wameachwa mtaani wengine wakiwa hawajui tena matumaini ya elimu walioipata!
Majibu ya viongozi: viongozi wametoa matamko tofauti kuwa walimu wa arts wanatosha, muda huohuo wanahamisha walimu toka sekondari kwenda shule ya msingi hii ni kudhihirisha upungufu mkubwa wa walimu. Sasa Kwanini serikali isijikite kuajiri walimu wa arts ambao toka 2015 hawajaajiriwa na kuwapeleka primary kuliko kuwahamisha ambao Wapo sekondari toka zamani.
Nini Hatima ya wahitimu katika serikali hii inayojiita kuwa serikali ya wanyonge? ni wanyonge gani ambao serikali inawasemea, nyuma ya hao wahitimu kuna maelfu ya familia ambazo zinamatumaini ya kufutwa machozi ya ada, kulipa mkopo wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu, na raslimali zilizotumika kuwekeza katika elimu.
Ombi kwa wabunge: wabunge ambao ndio watetezi wa wananchi wapaze sauti kuikumbusha serikali umuhimu wa kupunguza rate of unemployment katika jamii, kamwe uchumi wa Kati hauwezi kufikiwa kama rate of unemployment is still exist.
Ni muhimu sasa serikali iwaajiri walimu wa Sanaa hata kwa kupelekwa primary ili kupunguza wingi wa wahitimu wasio na ajira Mitaani. Kama serikali ya awamu ya nne iliweza kwa nini hii ishindwe?