Ubaguzi ktk mitihani ya kitaifa zanzibar why?

Kadudu

Member
Mar 22, 2008
71
10
Kwanini shule za binafsi zanzibar hazirusiwi kufanya mitihani ya kitaifa ya darasa la saba na form 2?
Au kiwango cha elimu cha shule za binafsi kiko chini kuweza kuifanya hiyo mitihani?
Je hapo haki na sheria hazkiukwi kweli?maana nao ni sehemu ya taifa,au ndo sheria ya zanzibar ?
Mm naona wangepambanishwa pamoja ili kuchochea maendeleo ya elimu visiwani,wadau maoni plz,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Back
Top Bottom