bona
JF-Expert Member
- Nov 6, 2009
- 3,798
- 1,435
nimekua nikifuatilia matukio ya wanandinga tajwa hapo juu ktk matukio ya kuwasaliti wake zao, ila kuna jambo moja limenishangaza kwani nimeona kuna element za ubaguzi mkubwa.
ni kweli kumsaliti mkeo si kitendo kizuri lakini treatment walizopewa ayo makundi mawili hapo juu inashangaza jinsi ilivyo ya kibaguzi. pia kucheat ni kucheat mtu atakua mpuuzi akidai kua aliyecheat kwa mwanamke mmoja au wawili ana afadhali kwa yule aliyecheat kwa wanawake watano.
john terry alipewa sapoti kubwa na waingereza kiasi cha kwamba ndani ya wiki moja matatizo yake na mkewe yakaisha, beckham alipewa sapoti kubwa kiasi cha kwamba wakamaliza matatizo na mkewe kwa mda mfupi, wake zao hawakuama nyumba, hawakudai waume zao waende clinic za kujitibia dhidi ya matendo ya kupenda ngono.
wana JF kweli hapa hakuna dalili za ubaguzi kati ya wazungi na black? to me this is clear double standard!
ashley cole na tiger wood ambao ni black relatively, wamekua cursed na kila mtu kwa tabia zao, wadhamini wamewakimbia wakati kwa kina beckham na terry haikua ivyo,wake zao wamehama nyumba na wanatembea mitaani bila pete za ndoa, wote wanatishia kudai divorce, wanapata sapoti kubwa na media pia, na pia wanatakiwa waende clinic ya kutibiwa magonjwa ya kupenda ngono