Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Nachokiona katika kauli ya magufuli ni wazi kuwa ana wivu wa kimaskini sana. Na anakomoa na visasi juu.
Wakati yeye anasoma shule za serikali zilikuwa kimbilio la wanafunzi na zilikuwa na heshima. Enzi zile darasa la saba tulikuwa tukifaulu katika shule yenye wanafunzi 100 hawazidi 5 wanaofaulu ila virse versa kwa sasa.
Na ilikuwa ni aibu na fedheha kwa mzazi kumpeleka mwanafunzi shule ya private na tuliziita shule za vilaza, yaani waliofeli ndio lilikuwa kimbilio lao.
Elimu imevurugwa sana hasa na ccm wenyewe kwa maslai binafsi ya kisiasa tukianza na awamu ya Mkapa na Kikwete kila waziri anakuja na mtaala wake na vitabu vinabadilishwa.
Hawahawa ccm waliambiwa juu ya hili ili wapinzani hasa Mbatia alionekana katumwa na mtu asiyetaka maendeleo. (Mama Tanzania)
Jana magufuli kasema elimu iko juu na mbaya akasema walio private school wasahau mkopo (kodi yake mtanzania huyohuyo.
Huu wivu wa kutaka kufanya shule za serikali zikubalike kwa kigezo cha mkopo tunatengeneza janga lingine la vilaza na kutokuwa na ushindani wa elimu.
Katika shule bora 100 serikali inashule 10 tu, iv hapa lengo ni kuzalisha vichwa au vilaza.
Huu wivu unajenga nchi au unabomoa, tukiondoa shule binafsi serikali ina uwezo wa kusomesha wanafunzi wote?