Ubaguzi: Green Guard wakipewa mafunzo na polisi huku vyama vingine wakipigwa marufuku wakiitwa magaidi na wavunja amani

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,873
Licha sheria ya vyama vya siasa iliyosainiwa na Rais mwezi Februari kukataza vikundi vya ulinzi katika vyama vga siasa, CCM vikundi vyao vinapewa mafunzo na Jeshi la Polisi, Hapo kwenye picha ni Dodoma central polisi, Green Guards wakipewa mafunzo na Jeshi la Polisi mjini Dodoma

FB_IMG_1553363176148.jpg
FB_IMG_1553363169788.jpg
 
Labda katazo limetenguliwa kimyakimya au wanatumia mambo ya sheria kuwa kuna general rule na exceptional

Ila hilo siyo sawa kwa nchi moja kuwa na mkanganyiko huu maana unacreate utengano wengine kujiona ndiyo wenye haki kuliko wengine
 
Ccm vile vile ikichoma card za wana chama wanao hamia ccm. Msajili wa vyama vya siasa yupo kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
Absolutely true

Nashangaa msajili wa vyama vya siasa kujitokeza hadharani na kulaani kitendo kilichofanywa na ACT wazalendo cha kuchoma kadi za CCM....

Lakini amekuwa kimya katika siku za nyuma, wakati chama cha CCM kikichoma moto kadi za vyama vya upinzani!
 
Back
Top Bottom