Ubadhirifu wa fedha ktk Halmashauri ya Mwanga

We upo dar unataka kuikomboa Usangi. Ile barabara ya Lami inayojengwa kutoka Mwanga to Usangi na ugweno, vipi kuhusu ujenzi wa shule, wilaya moja ina shule za A level tano. Hayo sio maendeleo? Vipi yale mabwawa ( ndiva ) yaliyojengwa mf. Mbakwe, kiriki n.k kwa ajili ya kilimo hamyaoni? Vipi maendeleo ya chuo cha ufundi UVTC. Tuna mpango kukipandisha hadhi kitoe Diploma ili baadae kitoe digrii. Vipi Hospitali ya wilaya Usangi na Zahanati kila kijiji, hilo hamlioni? Tatizo vijana mnawaza uongozi tu. Pia jifunze majukumu ya mbunge na DED. Pia fanya research kabla ya kupresent hoja yako.
 
Hospitali ipi na zahanati zipi kila wilaya?
Stop that nonsense, uzee wako wapelekee wajukuu wako ****** wakakuchambe.

Huyu ndo mtu pekee aliyekuwa na akili ccm. Na ameondoka nazo, mmebaki nyie kuku mliokatwa vichwa. Mbele hamuendo nyuma hamrudi, mnazunguka tu
http://www.youtube.com/watch?v=bQuy-njrnKo&feature=related
 
We upo dar unataka kuikomboa Usangi. Ile barabara ya Lami inayojengwa kutoka Mwanga to Usangi na ugweno, vipi kuhusu ujenzi wa shule, wilaya moja ina shule za A level tano. Hayo sio maendeleo? Vipi yale mabwawa ( ndiva ) yaliyojengwa mf. Mbakwe, kiriki n.k kwa ajili ya kilimo hamyaoni? Vipi maendeleo ya chuo cha ufundi UVTC. Tuna mpango kukipandisha hadhi kitoe Diploma ili baadae kitoe digrii. Vipi Hospitali ya wilaya Usangi na Zahanati kila kijiji, hilo hamlioni? Tatizo vijana mnawaza uongozi tu. Pia jifunze majukumu ya mbunge na DED. Pia fanya research kabla ya kupresent hoja yako.

Shule zipihizi?
Hii ya Kikweni au?
ImageUploadedByJamiiForums1348957498.192496.jpg

Au hii ya genesis international school?
ImageUploadedByJamiiForums1348957581.620563.jpg
 
Shule zipihizi?
Hii ya Kikweni au?
View attachment 66583

Au hii ya genesis international school?
View attachment 66584

Bigirita umejibu hoja kwa ufasaha kabisa. Tatizo linalotukabili sasa hivi katika tiafa la Bongo ni kwamba wale wachache walalaheri wanapolala kwa heri na kupeleka watoto wao katika shule zinazotoa elimu bora, basi wanafikiri kila mbongo amepata dinner tena ya 'chipsi na kuku' na kumpeleka mtoto katika elimu bora. Kwa akili zao za 'ujanja' ni kwamba kama mtu hakufanya hivyo basi ni kutokana na uvivu wake!!! Wanasahau kuwa kila palipo na mlalaheri mmoja kuna watu kumi waliolazwa hoi kwa kufisadiwa na huyo huyo mlalaheri. Tunaelekea kubaya.
 
Back
Top Bottom