Ubabe wa magufuli huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubabe wa magufuli huu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by VUTA-NKUVUTE, Mar 22, 2011.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Jana,Rais Jakaya Mrisho Kikwete alifanya 'ziara' katika Wizara ya Ujenzi.Alitumia ziara hiyo 'kumvua nguo' Waziri wa Wizara hiyo John Pombe Magufuli kwa kumuita mbabe na mchonganishi.Ubabe wa Magufuli ni kusema kuwa hata jengo lolote la CCM lililo eneo la hifadhi za Barabara atalibomoa.Je,wanajamii mnakubaliana na Rais Kiwete,no Kikwete kuwa Magufuli ni mbabe na mchonganishi?
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Jamani,hadi huki kuna siasa?
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Magufuli sijui anasubili nini CCM....binafsi namuona ni mtu anasimamia sheria bila kujari masila ya mafisadi na chama chao
   
 4. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Magufuli jiuzulu hao sio wenzio wewe ni mtendaji na wao ni wababaishaji wanaosaka deal hamtaiva pamoja milele...
   
 5. M

  Mayu JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2011
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Mkuu umepotea njia huku hatuna siasa.
  Mods peleka hii post mahala husika
   
 6. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  mimi niliipost kwenye jukwaa la Siasa lakini nimeshangaa kuikuta huku.Usumbufu wowote usamehewe
   
 7. kmwemtsi

  kmwemtsi Senior Member

  #7
  Mar 22, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  magufuli sio mbabe ila anasimamie sheria, na kama ulisikiliza vizuri malezo ya jakaya hakutamka kuwa magufuli ni mbabe na mchonganishi..
   
 8. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hii haijawahi kutokea. Yani upost kwenye siasa itokee huku kwenye technology!!
  Post yako tuu??
   
 9. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  CCM ya JK, EL, RA, AC etc watampendaje na kuthamini kazi ya Magufuli? SIkio la kufa haliwezi sikia dawa.......
   
 10. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  mkuu ccm hakuna collective responsibility, good governance etc. kumvua nguo magufuli mbele ya junior officers kama alivyofanya jk ni kutomtendea haki. Hata kama magu alikuwa na kosa alipaswa kumweleza na kumwelekeza wakiwa wawili tu. Mbona yeye jk alikuwa anaelekezwa na Mzee mkapa wakiwa wawili tu.
  in ccm there is a lot of insubordination ni bora hata kijiwe cha wavuta bangi.
   
 11. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Haki ya Mungu na Mtume vile kaka Ndibalema,nilipost kwenye Jukwaa la Siasa post hii
   
 12. SHINYAKA

  SHINYAKA Member

  #12
  Mar 23, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 25
  magufuli sio mbabe na mchonganishi, tofauti ya mtu wa rushwa (mrushwa) na kufuli ni kubwa. Kufuli linafanya kazi ya kulinda (taaluma) na mrushwa a.k.a mrisho, yeye ni ombaomba (siasa, a.k.a si-hasa) hofu hapa atakosa kuraaaa!!! :)
   
 13. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #13
  Mar 24, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  mbio za urais 2015 zimeanza..........
   
 14. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #14
  Mar 24, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kazi ipo jukwaa la sayansi limevamiwa na siasa pls mode okoa jahazi
   
 15. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #15
  Mar 24, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Huyo JK ndiye mbabe, tena anavunja ethics za leadership. Huwezi kumuaibisha kiongozi tena waziri wa serikali.
  Amefanya hivyo kwenye wizara nyingi tuu bila aibu. Hiyo ni kukosa maadili, upuuzi mtupu!!!!!!!!!!
   
Loading...