Ubabaishaji, upuuzi kila pembe, tuna nakisi ya uongozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubabaishaji, upuuzi kila pembe, tuna nakisi ya uongozi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by salustian, Jul 11, 2011.

 1. s

  salustian Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiki ni kichwa cha habari cha makala ya Rai ya Jenerali ya wiki iliyopita toleo na 193 la Julai 6 - Julai 12 2011. Nawaombeni wote wale mnaoipenda nchi hii, muisome makala hiyo kwa umakini sana. Usisome kama hadithi au novel soma kama literature utakayofanyia mtihani kesho (read it meditatively) na ufikirie namna ya kuisaidia jamii hii ya Watanzania wanaoishi bila viongozi wa kweli.
   
Loading...