Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,762
- 4,576
Kuna rafiki yangu ambaye ni mtumishi miezi minne iliyopita aliomba mkopo wa milioni 10 CRDB tawi la Newala (Mtwara) na akajaza kila kitu. Siku zikasonga bila kuambulia chochote na baada ya mwezi 1 hivi walimwambia wamesitisha huduma za mikopo hivyo afuate viambatanisho vyake.
Siku aliyovifuata wakamwambia wameamua kushughulikia maombi ya nyuma (likiwemo ombi lake) hivyo avute subira atapata. Sasa chaajabu mwisho wa mwezi uliopita wamemkata mshahara lakini hajawekewa mzigo..... Mwezi huu pia wamelamba ila mpaka sasa hajawekewa. Wale wataalamu wa mambo ya sheria hili limekaaje?