Ubabaishaji na Utapeli benki ya CRDB

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,762
4,576
Kuna rafiki yangu ambaye ni mtumishi miezi minne iliyopita aliomba mkopo wa milioni 10 CRDB tawi la Newala (Mtwara) na akajaza kila kitu. Siku zikasonga bila kuambulia chochote na baada ya mwezi 1 hivi walimwambia wamesitisha huduma za mikopo hivyo afuate viambatanisho vyake.
Siku aliyovifuata wakamwambia wameamua kushughulikia maombi ya nyuma (likiwemo ombi lake) hivyo avute subira atapata. Sasa chaajabu mwisho wa mwezi uliopita wamemkata mshahara lakini hajawekewa mzigo..... Mwezi huu pia wamelamba ila mpaka sasa hajawekewa. Wale wataalamu wa mambo ya sheria hili limekaaje?
 
Rafiki yangu pia ilikuwa ivyo ni mtumishi wa Hospital ya bugando, ila walimwelewesha kwamba kabla ya kusitisha mkopo, jina lake lilikuwa tayari washalipeleka kwenye system yao ndo hayo ya kukatwa yakaanza. Ila Wameshamrudishia pesa zake zote, na maisha yanaendelea, na hakuna cha UBABAISHAJI wala UTAPELI.
 
Ushahidi kama upo afike kwa Meneja wa Tawi amwelezee hiyo ishu nzima ataona jinsi meneja atakavyo mwangukia asifike mbali wala asipeleke mbele hii ishu
 
Kuna rafikiyangu ambaye ni mtumishi miezi minne iliyopita aliomba mkopo wa milioni 10 CRDB tawi la Newala (Mtwara) na akajaza kila kitu. Siku zikasonga bila kuambulia chochote na baada ya mwezi 1 hivi walimwambia wamesitisha huduma za mikopo hivyo afuate viambatanisho vyake.

Usinambie hadi Newala kuna CRDB,! Basi sawa.
 
HUYO RAFIKI YAKO NI MSHAMBA WA KUTUPA........ ILA CRDB WANAZINGUA DUNIA YA KATI
 
Rafiki yangu pia ilikuwa ivyo ni mtumishi wa Hospital ya bugando, ila walimwelewesha kwamba kabla ya kusitisha mkopo, jina lake lilikuwa tayari washalipeleka kwenye system yao ndo hayo ya kukatwa yakaanza. Ila Wameshamrudishia pesa zake zote, na maisha yanaendelea, na hakuna cha UBABAISHAJI wala UTAPELI.
Wamempa mkopo au wamerudisha alicho lambwa?
 
Ushahidi kama upo afike kwa Meneja wa Tawi amwelezee hiyo ishu nzima ataona jinsi meneja atakavyo mwangukia asifike mbali wala asipeleke mbele hii ishu
Jana amefanya mawasiliano na makao makuu kupitia ile namba ya huduma kwa wateja ila chenga zinaendelea.... Nafikiri afungue kesi kuwanyoosha
 
Sasa
Unajua mie nashangazwa na malalamiko ya waTZ ambayo hayana msingi, wewe kama umekatwa tuu kwenye a/c sa unasubiri nini badala ya kwenda pale na statement yako uclaim ulichokatwa uone kama hawatarudisha;

Sasa watz kila kitu wanaanzisha mada, sana sana kuhusu au crdb au kimei. Na mleta mada sio aliyekatwa au kudhulumiwa na mpambe tu, mwenye ushaidi nimeambiwa, nimesikia kwa rafiki yangu. Nawashauri crdb au kimei, kwa malalamiki ya kijinga yaliyojaa jf, insta nk nk ayakompile nimsaidie kisheria at no pay. Mkilea huu ujinga eti mteja is right mpaka kuwaandika kwenye midia vibaya sio vitu vya kuendekeza. No research remain silent.
Kama mtumishi wa serikali baada ya kupeleka jina kwa mwajiri lazma akuweke kwenye kumbukumbu kama mdaiwa na benki flan, jina likimfikia tarehe25.03.2016 akaliweka ina maana mshahara ukiingia tarehe 27.03.2016 mwajiri atalazimika kuzuia makato tayari regardless ya benki yako kuwa imekamilisha kuweka hela au la. Labda ishu haiko ivi kwa kesi yako- je kama ni ivi then apo wizi unaosema ni upi?
Aya karibu mtukane ila tusiendekeze kulalamika kila kitu
 
Ila na wewe ni wa ajabu,unaona ni sawa mtu kukatwa mshahara wake bila kupewa mkopo?

Tusitetee ujinga lzm CRDB wakili kua huo ni uzembe wa hali juu.
 
Kuna rafiki yangu ambaye ni mtumishi miezi minne iliyopita aliomba mkopo wa milioni 10 CRDB tawi la Newala (Mtwara) na akajaza kila kitu. Siku zikasonga bila kuambulia chochote na baada ya mwezi 1 hivi walimwambia wamesitisha huduma za mikopo hivyo afuate viambatanisho vyake.
Siku aliyovifuata wakamwambia wameamua kushughulikia maombi ya nyuma (likiwemo ombi lake) hivyo avute subira atapata. Sasa chaajabu mwisho wa mwezi uliopita wamemkata mshahara lakini hajawekewa mzigo..... Mwezi huu pia wamelamba ila mpaka sasa hajawekewa. Wale wataalamu wa mambo ya sheria hili limekaaje?

Ni makosa tu ya kiutendaji wa mifumo ya computer!!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom