Ubabaishaji mfuko wa umma kufa na kuzikana.

Junior Lecturer

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
904
526
Nashare hii..
kuna kasumba imeibuka tens ya ubabaishaji ndani ya mfuko wa umma wa kufa na kuzikana kwa wanachama wake/wachangia ji wafuko huo..MWANACHAMA AKIFIWA NA MTOTO CHANGA ALIYE ZALIWA SIKU HIYOHIYO NA KKUFARIKI BAADA YA KUMALIZA WEEK 40 TUMBONI MWA MAMA YAKE.
wanakataa kutoa stahiki Kwa mchangia ji w mfuko huo wakidai ati MTOTO HAKUKAA SANA.
JE NDO DHIMA HASWA YA MFUKO HUU?
MFANO ULIO HAI WANACHAMA TAKRIBANI WATATU TOKA PALE MWANZA WAMELALA MIKIA MFUKO HUO KWA KITENDO CHA KUWA ACHA SOLEMBA BAADA YA KUFIWA NA WATOTO WAO WACHANGA.

SORCE..MFUKO WA POLISI KUFA NA KUZIKANA KANDA YA ZIWA.
WA HUSIKA MPO JITOKEZENI KUELEWESHA WANACHAMA WENU JUU YA HILI LA KUFIWA NA WATOTO WACHANGA WANAO ZALIWA NA KUFA BAADA YA MUDA MFUPI BAADA YA KUZALIWA
 
Mbona simpo!wewe ombea misiba tu utaona faida ya mfuko.ombea mke/mume wako afe ujivunie kitita!
 
Back
Top Bottom