Ze burner
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 514
- 83
nimekuwa nikisikia malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa wateja wao ila baadaye nami yalinikuta. tatizo la flight delay, bei isiyotabirika, kukosa nafasi ukiwa na ticket mkononi, poor customer care na mengineyo yote hayo ndiyo utamaduni wao. labda kwa sababu wengi wa waajiriwa wao ni watoto wa mafisadi ukweli wanachosha sana...
mnamo mwezi kama wa julai hivi mafisadi hawa wakaamua kuanza safari zao za usiku DAR - NAIROBI - MWANZA na kukifanya kiwanja cha mwanza kitambulike kuwa kinafanyakazi masaa 24. vyema ila walifanya hivyo bila maandalizi yoyote ni mwendo wa kukurupuka tu. abiria kama kawaida tukafurahia huduma za usiku licha ya huduma mbovu za jini hili. na kutokana na mwenendo na maandalizi mabovu tulijua fika kuwa safari hizo zina mwisho coz mara ndege inaingia saa mbili, mara saa nne mara haipo nk.
Hatujakaa vizuri tay ari tumeshapokea taarifa kuwa safari hizo za usiku kutokea nairobi hazipo, na hivi ndivyo hali ilivyo sasa.
Hivi jamani wana jf tujiulize. kuna kitu kama vile "cooperate social responsibility" ambacho ni kitu cha msingi sana kwa wawekezaji kweli jini hili linatekeleza wajibu huo. kwani naona ikiwa hata haki za mteja hazitekelezwi na hakuna anaejali hivi haki ya kijamii kwa ujumla kweli inatekelezwa? binafsi sijawahi kusikia Precision air imefanya kitu fulani kwa jamii sijui wenzangu. na hi kampuni kweli ni ya kitanzania maana hafadhali kampuni nyingine za kikenya zinajali kuliko hii. jee wana jf kweli hii kampuni inafanya vizuri au ndo basi tu??