Uanzishwaji wa mashina ya CHADEMA ktk shule za sekondari

gaby

Member
Nov 14, 2010
17
0
wanajamvi mi ni tcha wa sec ninaprogram ya uanzishaji mashina ya chadema ktk kila shule za sec ktk hii wilaya yangu ili kusongesha ukuaji wa chama.je kuna sheria itakayonibana?kama ipo nipeni na reference kama haipo niungeni mkono kwa kuanzisha mashina hayo ktk shule za wilaya zenu
 
hakikisha unayo income nyingine tofauti na ualimu, vinginevyo waatakutoa kazini ao ccm...
Ila wenzio uwa wanafanya indirect method
 
unaweza kuwapa watoti ujasiri through general noleji ukifungua shina unatimuliwa japo cjui kama kuna sheria ila kuna waraka wa serikali kupinga shughuli za siasa mashuleni na vyuoni
 
wanajamvi mi ni tcha wa sec ninaprogram ya uanzishaji mashina ya chadema ktk kila shule za sec ktk hii wilaya yangu ili kusongesha ukuaji wa chama.je kuna sheria itakayonibana?kama ipo nipeni na reference kama haipo niungeni mkono kwa kuanzisha mashina hayo ktk shule za wilaya zenu
Ticha gaby kwanza asante kwa mwamko huo kuanzisha matawi ya Chadema shuleni, kwa swali hili ulilouliza wewew huwezi kuwa mwalimu, ila labda una ndugu yako mwalimu na wewe kujifanya mwalimu kwa sababu kama ni kweli wewe ni mwalimu, hizi ni ABC za ualimu ambazo you shuold know better!.
 
ziko wapi mkuu hizo ABC?
 
Lipi bora, kuwafundisha hao wanafunzi wako falfasa za leo za SISIEMU ama kukodi jengo uweke bendera ? Ni nafikiri hiyo otenativu ya kwanza ni sumu kali zaidi kuliko hicho unachotaka kufanya kwani tayari wanafunzi kuanzia shule za msingi, sekondari na hata vyuo wote wanachukia SISIEMU
 
Kuanzisha shina la chadema ni bora zaidi kwani kuna advantage nyingi kwa mfano tutazitekeleza kwa vitendo falsafa ya kupambana na upotevu mali za wanafunzi(shule) km majembe, slasher,ndoo nk
 
hakuna haja ya kuanzisha pango na kuweka bendera hapo una taka mshahara wako ucheleweshwe tu bure .. Wewe kama ni mwalimu wapo watoto sumu wamwagie upupu tu. Unatosha kabisa
 
Kuanzisha shina la chadema ni bora zaidi kwani kuna advantage nyingi kwa mfano tutazitekeleza kwa vitendo falsafa ya kupambana na upotevu mali za wanafunzi(shule) km majembe, slasher,ndoo nk
 
Kuanzisha shina la chadema ni bora zaidi kwani kuna advantage nyingi kwa mfano tutazitekeleza kwa vitendo falsafa ya kupambana na upotevu mali za wanafunzi(shule) km majembe, slasher,ndoo nk
Mi namuunga mkono ktman, Lazima ufanye cost benefit analysis kwanza kabla ya ku-implement hiyo plan yako. Sababu nasema hivo ni kwamba ukigundulika unahamasisha wanafunzi waki-support chama cha upinzani utakuwa hatarini kupoteza ajira yako, unless uniambie unataka ku-quit ajira and then ujikite zaidi kwenye siasa. Kama lengo ni kuingia rasmi kwenye siasa mi nakushauri uwe na chanzo cha mapato kingine, usitegemee siasa ndo itakulipa uendeshe maisha yako.
Kama unaendelea na ajira yako ya ualimu, nakushauri uanze kwa kuanza kuwapa wanafunzi elimu ya uraia ili waweze kutambua wajibu wa serikali ni nini na inafanya madudu gani. Wenzetu wanasema knowledge is Power!
 
Kuanzisha shina la chadema ni bora zaidi kwani kuna advantage nyingi kwa mfano tutazitekeleza kwa vitendo falsafa ya kupambana na upotevu mali za wanafunzi(shule) km majembe, slasher,ndoo nk

R u nuts? thought you were serious. Nadhani unahitaji kuconcetrate kwenye kazi yako. Kama mwalimu una nafasi kubwa sana ya kubadili mitazamo ya vijana ambao ndio tunawategemea kuwa viongozi wa leo na kesho. Just open their eyes waweze kutambua nini maana ya viongozi bora na umuhimu wake. Today we are talking of CCM na uongozi mbovu, lakini tunahitaji kufika mahali vijana na wananchi waweze kufanya maamuzi kwa vigezo na si ushabiki. Mtu achaguliwe kwa kuwa anafaa kwa maana ya kuwa na sifa zinazokubalika. Ukiweza kupeleka huo ujumbe itatosha kabisa zaidi ya kuwa na makundi ya kisiasa mashuleni.
 
Mkuu mi navojua huwezi anzishwa tawi katika shule yoyote isipokuwa Chuo/elimu tofauti na shule. Kama ivo basi hata leo Ccm ingeshajenga shule za ccm tangu mwiaka ya 70. Ila mkuu unaweza kuomba somo la uraia,zamani Siasa ili uweze kupitia hapo uwaeleze wanafunzi huozo wa serikali na ccm kijanja. Unaweza panua zile topic za uraia kama haki za raia,uchaguzi, uzalendo,uhamiaji,utawala bora ukaeleza sumu zako,pia unaweza kuanzisha midahalo ili watoto wazungumze. Mkuu uwe mjanja ili usistaafishwe kabla ya muda wako. Pia unaweza kuwaalika wanasiasa ili wawape taswira nzima ya nchi bila ya kubagua chama ili wanafunzi wenyewe wachague pumba na mchele,nakuhakikishia pumba zitaonekana na mbivu kuonekana kadri ya unavotegemea. Napenda kazi yako ila naogopa usibeti wrong ikayeyuka mkuu. Nakutakia maisha mema katika kuijenga nchi.
 
Back
Top Bottom