Uanzishaji wa kiwanda kidogo cha kutengeneza rangi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uanzishaji wa kiwanda kidogo cha kutengeneza rangi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Lusyonja, Oct 28, 2009.

 1. L

  Lusyonja Member

  #1
  Oct 28, 2009
  Joined: Jul 21, 2008
  Messages: 15
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Katika pitapita zangu nimekutana na mjasiliamari anayeweza kutengeneza viatu kwa kutumia ngozi za ngombe na samaki.Nimevutiwa sana na nikajenga hamasa ili niweze kutengeneza rangi mbalimbali, kwa kuanzia natamani kutengeneza rangi za majumbani. Natafuta ushauri kwa wenyekujua nianzie wapi kuanzisha ka-kiwanda kadogo nikifika Dar-salaam jiji la Makamba.Nimeona Nairobi wameweza je kwa Tz inawezekana
   
Loading...