UANDISHI WA MAKALA ZA UJASIRIAMALI

MarkD

Member
Jan 10, 2012
64
34
Habarini,
Kwa wenye taaluma ya uandishi wa habari kuanzia ngazi ya Diploma hadi degree na wenye uwezo wa kuandika makala mbalimbali ya ujasiriamali please tuongee offline 0786 972 232 ama unaweza kuja ofisini kwetu Kinondoni B barabara ya kwenda mahakama ya Kinondoni opposite tu na hospital ya Dr. Mvungi kuna jengo limejengwa na tofali za kuchoma tupo ghorofa ya 3 ofisi no. 148. Karibu.
 
Ni lazima awe na Taaluma ya Uandishi wa Habari? Maana mimi ni mwandishi mzuri sana. Na nina uzoefu kwenye mambo ya ujasiliamali ningeweza kutoa mchango hapo ukafikia lengo.
 
Back
Top Bottom