Uandishi wa kutumia Title "JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA (THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA)" kwenye

Ogah

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
6,227
1,548
Wakuu ninaomba kuuliza kwa wale wenye Ujuvi na masuala protokali/Itifaki (sijui neno lipi hapo litakuwa sahihi kutumika), unapotumia Title "JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA (THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA)" je ni sahihi kutumia nembo tofauti na nembo ya TAIFA?, naomba kuelimishwa

Mods....tafadhali naomba mnirekebishie Title kidogo.....isomeke Uandishi wa kutumia Title "JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA (THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA)" kwenye Taarifa/Barua
 
Nembo ni hiyo tu lakini kwa document au taarifa za serikali tu, i.e Central government kwwa sababu Halmashauri, Manispaa na Taasisi zinazojitegemea zina nembo zao. Usije ukaandika barua binafsi halafu ukaweka hiyo nembe itakula kwako
 
Shukrani Mkuu,

Nafahamu kuwa kwenye barua zangu binafasi siwezi kutumia hiyo title........kilichonifanya niulize ni kuwa......

Nimeona taarifa kutoka kwa Jumuiya ya Wasanii.....( I guess ilikuwa ikitaarifu kuhusu suala la kifo cha msanii mmoja)....wametumia "JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA (THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA)"....halafi wakaweka nembo yao kwa chini....halafu iko centred.......je ni sahihi?
 
Wasanii wengi hawajasoma elimu ya kutosha shuleni, so huenda waliandika bila ya kujua maana ya kutumia hiyo title. Sio title tu, hata template nzima ya barua inatakiwa ihusu mtumaji wa barua/waraka nikimaanisha postal address, e-mail na mobile phone. Huenda hata chama/umoja wao hawajawa bado na headed letter template wakavamia title ya serikali
 
Shukrani Mkuu....
Kuhusu usomi wao....mmhh......wapo walio wasomi na wapo ambao ni wa vipaji tu........hebu angalia hii image ambayo nimeipata kutoka kwa "Ankal" Michuzi

http://4.bp.blogspot.com/-J47FFiTJQhc/ULhGaRICgtI/AAAAAAAATxY/aSU6R42wiK0/s1600/basata11.jpg
 
Nimeona.Sasa hawa BASATA si ni watu walioenda shule? Kulikuwa na haja gani ya kuandika Jamhuri ya muungano wa Tanzania wakati ilikuwa inatosha tu kutumia title ya BASATA? Au kuna BASATA nyingine nje ya hapa Tanzania? Kwlei hawa vilaza
 
Back
Top Bottom