UANDISHI WA HABARI WA KIBONGO NI MAJANGA AU MAKUSUDI?

kunze

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Messages
377
Points
500

kunze

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2016
377 500
Wazee wa tafakuri ya kina,napenda kuleta mada hii tuidadavue kuhusiana na waandishi wetu wa habari na uandishi wao.

Kwa mfano gazeti hili sijui ndo limekataa kumuemzi aliyekuwa mmiliki wake maana hapa wameshindwa kutujulisha kwa hoja Kama

1- huyo mtu alikuwa hasimamishi?

2- je,ninufahari kusimamishwa?

3-je,anastahili kusimamisha? etc

Nawasilisha
IMG_20190531_101228.jpeg
 
Dalmine

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Messages
3,794
Points
2,000

Dalmine

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2016
3,794 2,000
Kwani kuna ajabu gani hapo?

Asimamisha ujenzi wa barabara
Asimamisha magari barabarani
Asimamisha ujenzi wa daraja ama nyumba.
 
Delivery Man

Member
Joined
Jan 3, 2019
Messages
51
Points
125

Delivery Man

Member
Joined Jan 3, 2019
51 125
Wazee wa tafakuri ya kina,napenda kuleta mada hii tuidadavue kuhusiana na waandishi wetu wa habari na uandishi wao.

Kwa mfano gazeti hili sijui ndo limekataa kumuemzi aliyekuwa mmiliki wake maana hapa wameshindwa kutujulisha kwa hoja Kama

1- huyo mtu alikuwa hasimamishi?

2- je,ninufahari kusimamishwa?

3-je,anastahili kusimamisha? etc

Nawasilisha View attachment 1113079
Hivi ndivyoo walivyomaanishaa acha uhuni.

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, amemwagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dorothy Mwanyika, awasimamishe kazi wenyeviti wa Mabaraza ya Ardhi ya Wilaya ya Karagwe na Kibaha kutokana na kulalamikiwa na wananchi kupokea rushwa.Lukuvi amewataja wenyeviti hao kuwa ni Rugate Assey wa Karagwe na Jerome Njiwa wa Kibaha.Akizungumza jana na waandishi wa habari jijini Dodoma, Waziri Lukuvi alisema katika kutatua migogoro ya ardhi, wizara imeunda mabaraza ya ardhi na nyumba ya wilaya 97 kwa ajili ya kushu-ghulikia utatuzi wa migogoro ya ardhi kwa mujibu wa Sheria ya Mahakama na Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi Sura 216.“Nimekuwa nikipokea tuhuma kuhusu utendaji wa wenyeviti wa mabaraza ya ardhi na nyumba ya wilaya hususani mabaraza ya Wilaya ya Karagwe na Kibaha.“Kwa mamlaka niliyonayo, namwagiza Katibu Mkuu kuanzia leo (jana), kuwasimamisha kazi hao wenyeviti ili kupisha uchunguzi.“Waliosimamishwa ni Rugate Assey, Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba Wilaya ya Karagwe na Jerome Njiwa Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba Wilaya ya Kibaha.“Tuhuma ni kwamba wamelalamikiwa na watu wengi kwamba wanapokea rushwa,” Waziri Lukuvi alisema.I
 
Job K

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Messages
9,272
Points
2,000

Job K

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2010
9,272 2,000

Na wewe acha ujinga matako wewe! Mwandishi huyo unayemtetea ni mburura! Akishindwa nini kuandika sentensi kamili? Kwani angeandika waziri Lukuvi asimamisha watumishi wa ardhi kungekuwa na shida gani?
 
Forum statistics

Threads 1,392,232
Members 528,573
Posts 34,102,430
Top