Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,682
- 149,886
Hawa Wahariri ni watanzania na wanachokifanya ni reflection ya watanzania tulivyo.
Nilikuwa napitia magazeti ya leo ila nimeshangazwa kuona habari ya Zitto kupeleka hoja binafsi Bungeni ya kutokuwa na imani na Raisi imeripotiwa na gazeti moja tu la The Citizen miongoni mwa magazeti mengi niliyoyapitia.
Nina hakika ingekuwa ni katika nchi zingine hata hizi za Kiafrika tu, basi hii ndio ingekuwa ni leading story lakini huku kwetu si habari.
Kuandika tu alichoripoti Zitto imekuwa ni shida (uoga) licha ya watu kila siku kulalamika sasa kwa hali hii kweli sisi tuna-fit kuwepo katika huu Ulimwengu?
"This planet is not our place' tuwapishe wengine tukaishi kunakotufaa kama kupo.