Uandikishwaji wa Tela la Trekta

Anithape

Senior Member
Nov 14, 2018
131
136
Wadau habari zenu.

Hivi ukinunua Tela la Trekta ambalo limechongwa hapahapa Bongo, ni lazima kulifanyia usajiri TRA au linaweza kutumia usajiri wa trekta ambalo linaunganishwa?

Jee kama lazima liwe na usajiri wake, jee gharama zake na utaratibu wake upoje?

Natanguliza shukrani
 
Ni lazima lisajiliwe hapa nchini na kupewa namba, mm niliwahi tengeneza tela la kubebea boti, hivyo nilivyoenda TRA nilitakiwa nipeleke
Risiti zote nilizonunulia material ya uundwaji wa tela

1, Risiti za c Chanel
2,Risiti za Mabati
3,Risiti za Rangi
4.Risiti Ya Matairi
5.Risiti ya Ekseli na mengineyo. ziwe risiti za efd, halafu wanalikagua watu wa TRA na TBS ndio unapewa namba ya usajili . Pia watakupa namba itakayogongwa kwenye chasisi
 
Back
Top Bottom