Uandikishwaji kwenye Daftari la kudumu la wapiga Kura | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uandikishwaji kwenye Daftari la kudumu la wapiga Kura

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Masikini_Jeuri, May 14, 2010.

 1. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #1
  May 14, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Wakuu; nimekuwa na pilika za hapa na pale na nilimiss zoezi la kwanza huko Dar; Wakati fulani niliambiwa kuwa muda umeongezwa; Je bado zoezi linaendelea ama nianze taratibu za kujiandikisha mkoani?:confused2:
   
 2. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #2
  May 14, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,947
  Likes Received: 2,093
  Trophy Points: 280
  Wameongeza siku mbili tarehe 22 na 23 Mei 2010. Mkoa gani ambako ulitaka kwenda kujiandikisha? Na kwa misingi ipi? Ndiko unakotokea? Au ungeenda mkoa wowote ambako uandishaji ungekuwa unaendelea? Kama ni Mtwara na sio kwenu, je siku ya uchaguzi ungeingia gharama za kwenda huko (usafiri, malazi, n.k.) kwa ajili ya kupiga kura? Kama hapana, basi wewe unataka kadi hiyi kama kitambulisho tu!
   
Loading...