Uchaguzi 2020 Uandaliwe mdahalo wa wagombea Urais wa Vyama vya Upinzani wanaompa changamoto Rais Magufuli

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,571
Napendekeza uwepo mdahalo wa wagombea urais wa vyama vya upinzani wanaompa changamoto ( challenge) mgombea wa chama tawala Dkt. Magufuli.

Wagombea wa upinzani watueleze cha zaidi watakachokifanya kushinda yale yaliyokwishafanywa na Rais Magufuli na yale atakayofanya kupitia ilani ya CCM ya 2020.

Rais Magufuli anatetea kiti chake na watanzania tumeshuhudia utendaji wake uliotukuka hivyo hakuna sababu ya yeye kushiriki mdahalo huo moja kwa moja.

Nawasilisha.

Maendeleo hayana vyama!
 
Rubbish and you know it is rubbish.
 
Ha ha haa. CCM mmechanganyikiwa mazima. Hivi kwanini mnaogopa sana kumwambia ukweli huyo jamaa yenu? Maana kuna kitu mnatamani kusema lakini mnuogopa sana
 
Wanamjua Kiswahili hajui kiingereza ndo kabisaa halafu kama wajuavyo Lissu anaweza kumfokea mzee akapandisha Mori akajikuta anagonga Kirundi cha asili
 
Napendekeza uwepo mdahalo wa wagombea urais wa vyama vya upinzani wanaompa changamoto ( challenge) mgombea wa chama tawala Dkt. Magufuli.

Wagombea wa upinzani watueleze cha zaidi watakachokifanya kushinda yale yaliyokwishafanywa na Rais Magufuli na yale atakayofanya kupitia ilani ya CCM ya 2020.

Rais Magufuli anatetea kiti chake na watanzania tumeshuhudia utendaji wake uliotukuka hivyo hakuna sababu ya yeye kushiriki mdahalo huo moja kwa moja.

Nawasilisha.

Maendeleo hayana vyama!
Yule bwana hawezi kuongea
 
Unataka mtu akimbilie kwenda kujificha chato kama alivyoikimbia Ikulu kwa miezi miwili?

Maana itakuwa ni AIBU TUPU na AIBU KUBWA kwa huyo anayejiita KICHAA na wafuasi wake wa maccm.

Napendekeza uwepo mdahalo wa wagombea urais wa vyama vya upinzani wanaompa changamoto ( challenge) mgombea wa chama tawala Dkt. Magufuli.

Wagombea wa upinzani watueleze cha zaidi watakachokifanya kushinda yale yaliyokwishafanywa na Rais Magufuli na yale atakayofanya kupitia ilani ya CCM ya 2020.

Rais Magufuli anatetea kiti chake na watanzania tumeshuhudia utendaji wake uliotukuka hivyo hakuna sababu ya yeye kushiriki mdahalo huo moja kwa moja.

Nawasilisha.

Maendeleo hayana vyama!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom