Uamuzi wa Wanasheria wa CCM Kwenda kwa Arbitrator ni Mipango ya JK Kuirubuni TZ Tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uamuzi wa Wanasheria wa CCM Kwenda kwa Arbitrator ni Mipango ya JK Kuirubuni TZ Tena

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by niweze, Jan 3, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wananchi Tuna Uhakika Uamuzi wa Serikali ya Tanzania Kwenda kwa Arbitrator au Kuchukua Hii Njia Kusolve Hili Swala ni Mbovu and This is Fact. Serikali na Wanasheria wa CCM Walikwenda kushop Around Arbiitrator Kwa Malengo Binafsi. Wananchi Tunakosea Kwa Kufocus Only on Arbitration Decision. Swala la Dowans ni Bovu Tangu Mwanzoni na CCM Walishaamua Kumlipa Rostam Aziz. Kwanini Naelekea Kwenye Hii Argument? Mwanasheria Yeyote Yule Atakueleza Kwamba Unapochukua Uamuzi wa Kwenda kwa Arbitrator Moja kwa Moja Umekubali Umefanya Makosa Some How na Wanasheria wa CCM Inaonekana Walishapata Ushahuri wa Kisiasa Kama Kawaida, Very Weak Strategy. Kinachotokea Hapa ni Kwamba Arbitrator Anachoangalia ni Kiasi Gani Wote Wahusika Mnataka Kusettle or How Much is Agreement. Hii Njia ya Arbitration ni Very Common When Business or Entity Violate One of Signed Agreement. Kilichotokea Hapa ni Kwamba Huyu Arbitrator Alihusika Kusort Out the Amount na Wanasheria wa CCM Wanaonekana Wamepata Walichotaka. Makosa na Naamini Sio Makosa Ila Deliberately Decision to Pay Rostam Using Arbitrator Route. Kinachoonekana Kama Watanzania Tulikuwa Tuna Wanasheria Wanaojali Nchi Yao "Wananchi na Bunge la Taifa" Walishasema Wanachallenge Mkataba wa Dowans na Sio Vingenevyo. Wanasheria wa Serikali Walitakiwa Kufungua Kesi ya Legality ya Makubaliano ya Dowans na Tanesco na Nani Alihusika Kufanya Haya Makubaliano na Njia Zipi za Rushwa Zilitumika? Kitu cha Kufanya Hapa Kweli ni Makubwa na Kama Wanachi Tunataka Ukweli Lazima JK Afukuzwe Ili Tutafute Wanasheria Wapya Kutoka Uraiani. Wananchi Tumesha Sema Hatutaki Kulipa na Hatutalipa Huu Ujinga. Lazima Maandamano ya Kupinga Hii Njia Yafanyike Kuonyesha Jinsi Gani Tuna Chuki na Huu Uamuzi. Tena na Tena Wametuscrew Kwenye EPA, Rada, Bank Kuu , Migodini na Sasa Dowans Wazi Wazi Bila Aibu.

  "Kamwe CCM Haitatumika Kutoa Maamuzi ya Taifa la Tanzania. Katiba ni Solution na Tuhakikishe Tunashiriki Kupigia Kura Katiba Yetu"
  Tusome Below Articles Zinaonyesha Historia Kamili ya CCM

  Judge 'astonished' by corruption denials as he fines BAE £500,000 | World news | The Guardian

  US embassy cables: Swiss tip points to uranium smuggling out of Dar es Salaam | World news | guardian.co.uk

  Tanzanian Affairs » REPORT ON RICHMOND SCANDAL
   
Loading...