Tanzania kuna sheria?nchi ina taratibu zake na sheria, whether good or bad
CDM wanahitaji kuheshimu hayo, kwani ipo siku wanaweza kuwa madarakani na sijui wanatuonyesha nini kama wanashindwa kuheshimu msingi mmojawapo muhimu wa utawala... kwangu ni maamuzi ya kihuni
two wrongs wont make it right... never!!!
wanatufundisha nini?? kwamba kuna mahakama za watanzania na ni tofauti na za cdm??
maamuzi kama haya huwa yanatolewa na walevi wa pombe, na nikiwa serikali, nitaamuru washughulikiwe kwa mujibu wa sheria
hata hivyo mkuu alisema hayo ni MAONI YAKE binafsi.akibanwa(membe) na mahakama utasikia akisema 'yalikuwa ni maoni yangu binafsi'
kwa vile mashitaka yao ni ya jinai na wako nje kwa dhamana, hatari iliyopo ni dhamana kufutwa kama masharti yake yataonekana mahakamani kuwa yamekiukwa na hivyo wote kukamatwa tena na kurudishwa rumande...... na wao katika tamko lao naoma wameishalifahamu hilo na wamesema wako tayari........ so i can see that everything is properly culculated na hii ni siasa, kazi iliyopo ni washitaki wao nao ku-culculate the implication ya kuendelea na masitaka dhidi yao ama la, kama wataendelea na mshitaka dhidi yao, hakuna mwanya wa kuepuka kufutiwa dhamana kama kweli watatekeleza azma yao hiyo....................
in my opinion, chandema wanashinikiza kitu amabacho ni obvious kitatokea, yaani kufutiwa mashtaka, labda wanataka tu kuongeza shinikizo la kufutiwa haraka...............serikali kwa kufahamu hisia za jamii na jumuia ya kimataifa, haitakuwa tayari kufanya kosa kama la kuwakamata tena, arusha yaweza kulipuka upya na hata nchi nzima yaweza kulipuka kwa maandamano kuprotest hilo na hata jumuiya ya kimataifa yaweza kuiweka nchi yetu kundi moja na ivry coast............... so i believe, in the end serikali itakuja kiutu uzima na viable solution............
naona mnatuchanganya mara walisema hawaendi mara walisema wanaenda vyote ni mkanganyiko!,ila nimesoma tanzania daima la leo kuna maelezo kuwa moja ya tamko lao ni kutaka kesi ifutwe bila masharti vinginevyo hawatahudhuria mahakamani na wapo tayari kukamatwa.
maoni yangu:
japokuwa suala ili limekaa kisiasa zaidi ni bora wahudhurie mahakamani kuliko kutokwenda,cdm wamekuwa wakihubiri amani ni bora kuitekeleza kivitendo kwani suala ili linaweza kuibua mgogoro mkubwa sana.
Mkuu Crashwise...hili la kutoenda mahakamani ndiyo nimeliona hapa lkn binafsi sikusikia kauli hii sana sana waliwaomba wananchi kufika siku ya kesi yao ambayo itakuwa tarehe 21-01.2011
<br /><br />kwa vile mashitaka yao ni ya jinai na wako nje kwa dhamana, hatari iliyopo ni dhamana kufutwa kama masharti yake yataonekana mahakamani kuwa yamekiukwa na hivyo wote kukamatwa tena na kurudishwa rumande...... na wao katika tamko lao naoma wameishalifahamu hilo na wamesema wako tayari........ so i can see that everything is properly culculated na hii ni siasa, kazi iliyopo ni washitaki wao nao ku-culculate the implic
ation ya kuendelea na masitaka dhidi yao ama la, kama wataendelea na mshitaka dhidi yao, hakuna mwanya wa kuepuka kufutiwa dhamana kama kweli watatekeleza azma yao hiyo....................<br /><br />
in my opinion, chandema wanashinikiza kitu amabacho ni obvious kitatokea, yaani kufutiwa mashtaka, labda wanataka tu kuongeza shinikizo la kufutiwa haraka...............serikali kwa kufahamu hisia za jamii na jumuia ya kimataifa, haitakuwa tayari kufanya kosa kama la kuwakamata tena, arusha yaweza kulipuka upya na hata nchi nzima yaweza kulipuka kwa maandamano kuprotest hilo na hata jumuiya ya kimataifa yaweza kuiweka nchi yetu kundi moja na ivry coast............... so i believe, in the end serikali itakuja kiutu uzima na viable solution............
Unaongea kwa hofu kutokana na yaliyojitokeza Arusha kuogopa yasitokee tena au?
Chadema wako sahihi. wametafakari na kuona kesi hii ni ya kisiasa na suluhisho lake ni la kisiasa. Hebu tafakari. Ishu ya Umeya hawakwenda mahakamani km CCM na Makamba wao ambavyo wamekuwa wakidai. Wakaamua kuandamana kushinikiza, likawatachi ccm wakakurupuka ... maafa yakatokea, ikala kwao. Hata sasa CCM wangependa chadema wafungwe mdomo wasiendelee kuzungumzia mambo hayo mahali popote kwa vile yako mahakamani.
Wana JF tujue kuwa kesi iliyo mahakamani haizungumzwi popote hadi shauri liishe. CDM wameitisha maandamano nchi nzima, ikiwa wataiheshimu kesi hiyo hawawezi kulisemea suala hilo.