Uamuzi wa SAUT-MWANZA wa wasichana kutokuvaa suruali,je ni sahihi?

Frankness

Member
Aug 24, 2011
66
13
seriusly...this issue ni ya kutafakari saaaannaaa....je uamuzi wa uongozi wa chuo cha MT. AUGUSTINO Mwanza wa kuwapiga marufuku wadada kuvaa suruali ni sahihi?nahisi wangekataza watu kuvaa leggings na ku 'boost' boobs lakini suruali?mmmhmmm.....hebu lets get to think about it...skirts wadada wa leo wanazovaaa,c bora suruali....mtu anavaa kagauni au kasketi kafupi alafu ni transparent....wats all that?ni bora suruali kwa kweli..SAUT,please re-think your decision........
 
Kama ndio Dress policy yao huna utakalo fanya nikuacha kuvaa suruali au kutoku join chuo hicho
 
Hiyo ni sahihi coz unaandaliwa kuwa na ethics za kazi. Unapokua maofisini kuna ofisi zinakataa uvaaju huo lakini mbona watu hawalalamiki na ndo kwanza aplication za kutosha.
 
Hicho sasa siyo chuo kikuu bali ni middle school ya enzi zetu!!!

Tunaomba na mkuu wa chuo aanze mara moja kuitwa headmistress/headmaster!!
 
Hiyo ni sahihi coz unaandaliwa kuwa na ethics za kazi. Unapokua maofisini kuna ofisi zinakataa uvaaju huo lakini mbona watu hawalalamiki na ndo kwanza aplication za kutosha.

Hakuna cha kazi hapo,

Ni kujaribu kukimbia vivuli vyetu wenyewe... Hebu nenda kaangalie vibinti vya baadhi ya hao walimu vinavaaje??

Labda kama walimu wate wa SAUT ni matowashi
 
Jamani wala hata hakuna haja ya kuwalaumu hawa SAUT. Wao ndo wenye shule na wana haki ya kutunga sheria maadam wameafikiana wao kwamba sheria hiyo inaridhisha na itamudu kuondesha shule. Kwani we msichana unaponyimwa au kukatazwa kuvaa suruali utakosa nini katika maisha yako yote ukiwa shuleni??

Waacheni uongozi wa SAUT wafanye kazi yao kama wanavyotaka na wala msiwafundishe
 
chuo kinaendeshwa ktk misingi ya dini,kuwatega watu sio vzr hasa kwa suruali zao zinazobana,nataman na vyuo vyetu vya serikali wangepigwa stop suruali,ningefurah sana
congrats SAUT
 
Its a private University, hakuna haja ya kuwalaumu! They know what they are doing! kama mtu hawezi kufuata masharti hayo anaachana nao, vyuo viko vingi nawao watakosa mapato. Kwa upande mwingine, mtu akiona masharti yanaunafuu, anaruka hadi SAUT anaanza shule!!
 
Wapo sahihi. Hawaangalii contents pia wanafundisha ethical issues ambazo ni pamoja na dressing. Kama wamezuia surual naamin hata skirt fup nazo pia wazikataze. Angalia wanafunz wa MUM wanavyo dress. Wanavutia kwa kwel. Saut big up.
 
ukiona sera hiyo inakubana unaweza kuhamia chuo kkikuu fulani kiko morogoro pale ilipokuwa tanesco conference centre, wana dress code nzuri sana!
 
saaaaaaaaaaaafi saaaaaana lazima tujipambanue siku hizi haijulikani mwanaume yupi na mwanamke ni yupi, tena ni bora wangeongeza wakawa wanavaa wanafunika vichwa vyao tumeisha wachoka tabia zao.
 
Usikurupuke kupost bila kufanyja utafiti yakinifu! Si kwamba wamekatazwa kuvaa suruali at all isipokuwa zile ambazo ni kinyume na maadili ya chuo yani za kulali, kubana n.k! Na si suruali tu bali hata nguo nyingine ambazo si za heshima kwa mujibu wa chuo! Suruali za heshima wanavaa kama kawaida!
 
seriusly...this issue ni ya kutafakari saaaannaaa....je uamuzi wa uongozi wa chuo cha MT. AUGUSTINO Mwanza wa kuwapiga marufuku wadada kuvaa suruali ni sahihi?nahisi wangekataza watu kuvaa leggings na ku 'boost' boobs lakini suruali?mmmhmmm.....hebu lets get to think about it...skirts wadada wa leo wanazovaaa,c bora suruali....mtu anavaa kagauni au kasketi kafupi alafu ni transparent....wats all that?ni bora suruali kwa kweli..SAUT,please re-think your decision........
Mimi nadhani huu uamuzi ni sahihi kabisaaa. Maana badala ya watoto wa kike kuvaa ilikuwa ni mashindano ya kuonyesha Masaburi. Suruali inabana mpaka inachora picha halisi ya mwili!!
 
yaani we hujui tu,ilo swala limenifurahisha sana
big up SAUT, hao watoi had gone too far
 
mbona chuo kikuu cha kislamu morogoro lazima kuvaa hijabu na darasani kuna partition,yaan upande mmoja wasichana na upande mwingine wavulana,hakuna kuchanganyika,na pia hairuhusiwi wanaume kwenda hostel za kike na wasichana hawaruhusiwi kwenda hostel,za kiume,swala la kuwa na masharubu kwa wanaume ni moja ya mambo yanayohimizwa,zaidi ya hapo ukigunduliwa wewe dini tofauti na uislamu utakuwa unapita semister kwa maombi,maana hawahitaji watu wa mtindo huo-wengi wao hawamalizi,zaidi ya hayo machache hawataki wanafunzi kuwa na mahusiano ya kimapenzi.
 
seriusly...this issue ni ya kutafakari saaaannaaa....je uamuzi wa uongozi wa chuo cha MT. AUGUSTINO Mwanza wa kuwapiga marufuku wadada kuvaa suruali ni sahihi?nahisi wangekataza watu kuvaa leggings na ku 'boost' boobs lakini suruali?mmmhmmm.....hebu lets get to think about it...skirts wadada wa leo wanazovaaa,c bora suruali....mtu anavaa kagauni au kasketi kafupi alafu ni transparent....wats all that?ni bora suruali kwa kweli..SAUT,please re-think your decision........

Huyu amenikumbusha enzi zile St. Anthony - Mbagala ilipokuwa inaanza, kuna wazazi walilalamika kuwa uniform zina alama ya msalaba kama chata kwenye mfuko wa shati na kutaka uniform hizo zibzdilishwe.

Ila walikuwa wamesahau kuwa hiyo ni shule binafsi na watoto hawalazimishwi kwenda pale. Walijibiwa kuwa wasome JOINING instruction na wakubaliane na masharti na wakiona hayako sawa wasipeleke watoto wao.

Basi!!!!!
 
Back
Top Bottom