Uamuzi wa kusajili simu uligeuzwa kuwa kisiasa na sasa tunaona ubaya wake

Hahaha! Umenikumbusha juu ya kachero mbobezi, mzee wa "niguse ninuke".

Halafu hao wajanja waliodukuwa mpk mazungumzo ya mzee baba na madaktari wake kisha kuzima betri wapewe ulinzi
😂😂😂 Mkuu Kama Kuna mahali "mzee baba"alikoseaga ni kuanza udukuzi wa watendaji wake na kuidhihirishia dunia kuwa ni kitu simple sana
 
😂😂😂 Mkuu Kama Kuna mahali "mzee baba"alikoseaga ni kuanza udukuzi wa watendaji wake na kuidhihirishia dunia kuwa ni kitu simple sana
Aisee! Ndiyo maana kuna usemi "usianzishe ubaya kwa vile utakurudia". Udukuzi ukamrudia mwenyewe.
 
Magu aliamini yeye ndiye mwenye akili, hivyo hakutegemea sana ushauri, sidhani kama katika maamuzi yake alikuwa akimshirikisha hata huyo makamu wake. Kwanza nahisi hata wasaidizi wa Magu, mama walikuwa wanamdharau kwa sababu haikuwa kutokea makamu wa raisi akawa raisi. Labda makamu wa raisi mwenye bahati ni mpango peke yake.
 
Back
Top Bottom