Uamuzi wa kununua ndege sita ndani ya muda mfupi kwa nchi kama yetu ulikuwa ni uamuzi sahihi?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,371
Ni kweli tunahitaji kufufua shirika letu la ndege lakini kwa nchi masikini kama hii unadhani ilikuwa ni sahihi kununua ndege sita ndani ya muda mfupi tu?

Chagua moja kati ya haya
A.NDIO
B.HAPANA
C.SIJUI

Je,unadhani nini inaweza kuwa ni athari ya muda mfupi na ya muda mrefu ya uamuzi huu hasa ukijaribu kupima/kulinganisha faida na hasara zake?
 
Gari kwenye mteremko harafu breki zimegoma kushika. Matokeo yake tunasubiria kuona mwisho wa mchezo.
 
Ndege sita zinawapa kiwewe alitakiwa anunue ishirini (20) kwa kuanzia then mwakani anaongeza kama kumi hivi. Safi sana JPM Tanzania ni nchi sio kainchi.
Elewa tu kuna mambo yanatakiwa kufanywa kwa wakati fulani na wakati huo ukipita kwasababu yoyote ile ikiwemo ukosefu wa fedha,basi athari zake huwa ni za kudumu au zinakuwa ni za muda mrefu.

Kwa mfano,ukishindwa kumsomesha mwanao leo hii kwasababu yoyote ile kama vile kushindwa kumlipia ada,bas ujue huenda ukawa umeharibu future yake yote.
 
Elewa tu kuna mambo yanatakiwa kufanywa kwa wakati fulani na wakati huo ukipita kwasababu yoyote ile ikiwemo ukosefu wa fedha,basi athari zake huwa ni za kudumu au zinakuwa ni za muda mrefu.
Mkuu labda huelewi GDP ya nchi inakuwa kiasi gani unapokuwa na shirika lako la ndege na kuitangaza nchi. Lengo kubwa hapo ni kukuza biashara ambayo ni premier kwenye nchi yetu: Utalii kama tukiweza hapo kuongeza watalii kama million tano tu kwa mwaka, utaona jinsi uchumi utakavyokua kwa kishindo. Angalia Figures za GDP mifano ipo mingi angalia nchi nyingi, sina hata haja ya kuzitaja. Hapo ndipo ufahamu JPM ni kichwa. Nawashangaa wengi mnaofikiria maendeleo ya kula leo bila kuona mbele we need to support the executive ambaye amejikita kuisafisha hii nchi na ameanzia hapo. Judge him 20 years from now.
 
NYIE MNA LAAANA SI BURE......Afu wewe mleta maada tunakufahamu humu jukwaani kama MPINGA MAENDELEO MKUBWA......tatzo mmna RAISI wetu asitimize ahadi zake mpate YA KUONGEA 2020....sasa dawa hapa ni kutimiza AHADI ZOTE ni mwendo mdundo....ATUSIKILIZI MAFISADI WA HUKO UFIPA pigeni kelele..........KAMA RUZUKU TU NA MISAADA MNAYOOMBA MNASHINDWA KUFANYIA LA MAANA HATA KUJENGA OFISI YA CHAMA MNASHINDWA NCHI MTAIWEZA VIPI KUISIMAMIA??

UNALETA UWONGO UWONGO humu ndani ili hata hiyo DEMOKRASIA inawashinda ndani ya CHAMA CHENU.....MFANO LEO MBOWE ANA MKATA SOSOPY na KUMWACHA MSIGWA ALONE apigiwe KURA za ndiyo....huu ni upuuzi wa kiwango cha juu
 
Hakuna ubaya wowote kununua hizo ndege
The problem is to pay the full price instantly, it's not a good business manoeuver
 
Mkuu labda huelewi GDP ya nchi inakuwa kiasi gani unapokuwa na shirika lako la ndege na kuitangaza nchi. Lengo kubwa hapo ni kukuza biashara ambayo ni premier kwenye nchi yetu: Utalii kama tukiweza hapo kuongeza watalii kama million tano tu kwa mwaka, utaona jinsi uchumi utakavyokua kwa kishindo. Angalia Figures za GDP mifano ipo mingi angalia nchi nyingi, sina hata haja ya kuzitaja. Hapo ndipo ufahamu JPM ni kichwa. Nawashangaa wengi mnaofikiria maendeleo ya kula leo bila kuona mbele we need to support the executive ambaye amejikita kuisafisha hii nchi na ameanzia hapo. Judge him 20 years from now.
Nani alikwambia kununua ndege nyingi kwa mara moja tena kwa kulipa cash ndio uhakika wa mafanikio katika biashara ya ndege?

Serikali kama baba wa familia ina majukumu mangapi?
.
 
Nani alikwambia kununua ndege nyingi kwa mara moja tena kwa kulipa cash ndio uhakika wa mafanikio katika biashara ya ndege?
.

Is that what I said? I don't think so, kama umeshindwa hoja Wacha kuchomekea, Je, hivyo ndivyo nilivyosema? Je, nimesema zimenunuliwa cash? Mkuu unaweza kutupa ushahidi wa maneno uliyoandika? Je, wewe unauzoefu wa biashara ya ndege? Je, una-qulification zozote ku-prove unachokisema?
 
rethe ndege murra atakae bisha ni kupigwa panga tu, tununue sisi utusumbue wewe. .hapa kazi tu
 
Ila unaona raha upande ndege za Kenya au Ethiopia kwa kuwa wao ni tajiri Zaidi yetu?
Hivi unajua hizo inchi ulizozitaja zilikuwa na mipango ya muda mrefu na muda mfupi? Sisi tumekurupuka tu nakuingia kwenye ununuzi bila hata kutafuta wataalamu wa kufanya tafiti ya hali ya soko na kushauri namna au approach sahihi ya kufufua shirika la ndege kwa hatua mpaka tujikute katika hali ya ushindani. Hatuna hata mpango mkakati zaidi ya kwamba waliopewa dhamana wakishindwa kumudu ushindani na kupata faida watumbuliwe.Waulize Kenya kasheshe wanayoipata kwa kufanya maamuzi ya kukurupuka katika ku implement expansion strategy.Biashara haitaki "umwamba wa kufikirika", inapaswa kuwa calculative katika kila move.Ukizingatia hizi ni pesa za watanzania masikini wanaokosa dawa na chanjo mahospitalini.Hatuliombei mabaya taifa, lakini kunahitajika umakini wa hali ya juu sana katika hili jambo.
 
Ni kweli tunahitaji kufufua shirika letu la ndege lakini kwa nchi masikini kama hii unadhani ilikuwa ni sahihi kununua ndege sita ndani ya muda mfupi tu?

Chagua moja kati ya haya
A.NDIO
B.HAPANA
C.SIJUI

Je,unadhani nini inaweza kuwa ni athari ya muda mfupi na ya muda mrefu ya uamuzi huu hasa ukijaribu kupima/kulinganisha faida na hasara zake?

Hizo fedha asingenunua ndege, mafisadi wangezipiga tu. bora anunue ndege . Rejea Escrow na Richmondi hizo hela walinunua nini.
 
Mkuu labda huelewi GDP ya nchi inakuwa kiasi gani unapokuwa na shirika lako la ndege na kuitangaza nchi. Lengo kubwa hapo ni kukuza biashara ambayo ni premier kwenye nchi yetu: Utalii kama tukiweza hapo kuongeza watalii kama million tano tu kwa mwaka, utaona jinsi uchumi utakavyokua kwa kishindo. Angalia Figures za GDP mifano ipo mingi angalia nchi nyingi, sina hata haja ya kuzitaja. Hapo ndipo ufahamu JPM ni kichwa. Nawashangaa wengi mnaofikiria maendeleo ya kula leo bila kuona mbele we need to support the executive ambaye amejikita kuisafisha hii nchi na ameanzia hapo. Judge him 20 years from now.
Unatia huruma ndiyo neno linalokufaa, huwezi kuendesha biashara ya utalii na kupata faida kwa videge vyako. Aisee la
 
Back
Top Bottom