Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 58,489
- 131,331
Kama unadhani wanajua kitu, you are very wrong!, ni weupe sana na wengine ni just empty shells!.Katiba ya Chadema iwe na kasoro kama hiyo halafu yule Nyahoza anayetishia kuifuta Chadema kila siku asiijue hiyo kasoro ili aitumie kumfurahisha bosi wake!
P