Mkuu
DR Mambo Jambo , kwanza naunga mkono hoja zako kuhusu huo ndio utaratibu kwa mujibu wa katiba ya Chadema, ila utaratibu huo ni kinyume na katiba ya JMT, hivyo katiba ya Chadema ni batili!,
Tuhuma Hii: CHADEMA kuendeshwa kwa Katiba "Fake" ikithibitishwa, CHADEMA inaweza kufutwa . Katiba ya JMT, ndio sheria mama, kama katiba inasema haki inapatikana mahakamani, kipengele chochote cha taasisi yoyote inayozuia mtu kutafuta haki yake mahakamani, ni batili, kinyume na katiba!.
GE2015 - CHADEMA ikipewa Nchi, Oktoba 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala wa Kidikteta? Nauliza Tuu!
P
Ndugu
Pascal Mayalla, laiti kama katiba ya CHADEMA toleo la 2006 ni fake kama unavyodai wewe, unafikiri Sisty Nyahoza na Samia Suluhu Hassan walivyo so desperate kuona CHADEMA inafutika katika uso wa Tanganyika wangekuwa wanatafuta makosa ya matamshi ya viongozi wa CHADEMA kwenye mikutano yao ili yawape uhalali wa kuichukulia hatua ikiwemo hicho unachosema "kufutiwa usajili" badala ya Moja kwa Moja kutumia kigezo cha "katiba fake" kuwaadhibu...?
Hebu fikiri vizuri kabla hunena au kuandika...
Kila taasisi inayojiendesha kwa utaratibu, lazima ktk taratibu hizo, for the sake of protecting the institution, ita- pinpoint "the very serious offences" ikiwemo kuweka utaratibu wa wazi wa namna ya kushughulika nayo...
Na makosa hayo yakiwa committed na mmoja au kikundi kidogo cha watu wa taasisi hiyo basi inaweza kuwa inahatarisha maslahi ya members wengi wa taasisi na uwepo wa taasisi yenyewe. Makosa haya ambayo ni very serious, basi hata ushughulikiwaji wake huwa mara zote haufuati taratibu za kawaida za taasisi zenye urasimu wa kuchukua muda mrefu....
Hata serikalini ndivyo ilivyo. Mfano ukiwa kama mwajiriwa wa serikali (public servant), huwezi kupotea kazini mwaka mzima bila taarifa, ukawa automatic umejifukuza kazi mwenyewe eti baada ya mwaka tena ukarudi na kudai "sikusikilizwa", nimerudi kwenye nafasi yangu..!
Vivyo hivyo, haki ya kuishi ndiyo haki kuu kwa mujibu wa katiba na inalindwa kwa nguvu zote. Lakini inapotokea jambazi mwenye silaha aliyekuvamia akuue kisha akuibie, lakini bahati njema "for the sake of self defense" ukamwahi na kumuua yeye kabla ya kukuua wewe, hiyo haiwezi kuwa ni kosa lililovunja haki ya kuishi iliyotajwa na katiba ya jambazi huyo aliyekufa na hawezi kutokea mtu huko akaanza kudai "huyo jambazi hakupewa natural justice ya kusikilizwa kwanza kabla ya kuuwawa...🤔🤔"
Huyu Said Issa Mohamed na wenzake, kabla ya kutenda huo ujinga na upumbavu wao walipaswa kufikiria na consequences zake iwapo mpango wao ungefeli kama ambavyo umeshakufa kifo cha kawaida..
That's to say, they knew exactly what they were doing and also they knew exactly 💯 💯 the consequences of their actions..
It's terrible that, baada ya kufeli, hawataki ku - take risk ya kukubaliana na matokeo...!
Huu ni udhaifu mkubwa wa hawa jamaa na eti ndiye alikuwa one of the top leaders wa CHADEMA chini ya Freeman Mbowe for almost more than 10yrs...
No wonder 🤔, ktk kipindi hiki chote cha uongozi wao, chama kilikuwa stagnant na kupoteza nguvu na umaarufu wakati wote na January 2025 wakafukuzwa kwa sanduku la kura na chama kurudi mikononi mwa wanachama...!
After all, huo mlango wa "natural justice to be heard before being dismissed" ili kujitetea haujafungwa. Kilichofanyika sasa ni kuhakikisha taasisi inalindwa kwanza na sumu ya watu WA namna hii kwa kuwaondoa katikati ya watu wema kabla hawajai-poison na kuleta UHARIBIFU zaidi..
Aidha milango ya machinery zingine za chama kama Kamati kuu, mkutano mkuu nk iko wazi, anaweza kubisha hodi huko Ili kupeleka hoja za utetezi wake...
Akiona huko hataweza kupata haki yake, anaweza kufungua mlango wa mahakama na chama kitamsikilizia huko - natural justice of being heard...
So, he shouldn't think, that is the end of his road. No, it's not yet...
Lakini akumbuke, CHADEMA umeshawahi kuwa na watu maarufu, very influential, wasomi wa kiwango cha juu na wenye akili sana kama Zitto Kabwe, Samson Mwigamba, Prof Kitila Mkumbo and many others. Walitenda makosa yanayofanana au pengine yenye unafuu zaidi kuliko kosa la Saidi Issa Mohamed ambalo kwa kweli ni kosa very serious la lililosababisha hasara kubwa kwa CHADEMA...
Lakini watu hao walifukuzwa kwa namna hii hii na yeye akiwa mshiriki wa vikao vilivyofamya maamuzi hayo kwa kutumia katiba hii hii unayoiita ni "fake"..
Kina Zito, Mgamba, Prof Kitila Mkumbo walidinda dinda wee, wakaenda mahakamani lakini mwisho wa siku waliondoka. Sembuse huyu tutusa asiyejua lolote zaidi ya kukariri Korani na sharia..😕😕??
By the way, kwenye taasisi hizi za hiari ambazo ili uishi na wenzako ni sharti msomane, muwe compatible. Katika scenario hii, inawezekana vipi ukaishi na wenzako wasiokutaka kwenye hiyo taasisi au jumuiya...?
This is just common sense. Lakini shekhe Said Issa Mohamed inaonekana hata common sense hana❌❌