UAMUZI WA KOCHA ZAHERA JUU YA KIPA KAKOLANYA

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Mtu yyote mwenye mapenzi mema na Klabu ya Yanga atamuunga Kocha Zahera kwa asilimia mia moja. Ni vema akatafuta klabu nyingine na siyo Yanga. Wachezaji wangapi wanaidai Yanga. Yeye alifikiria akigoma hakuna wa badala yake na Yanga kufungwa mabao kama mvua. Kocha Zahera fyekelea mbali huyu Kakolaya. Bila Yanga asingefahamika kama Kakolanya wa leo.
 
Mimi ni Yanga damu kabisaaa, lakini katika Hilo la Kakolanya busara inahitajika,
Kwanza unapaswa kujua kwamba Yanga kama club ilikiuka mkataba wa ajira, vilabu vimeelekezwa kama havitolipa mchezaji/wachezaji kwa miezi 3 mfululizo basi wanakua wamekiuka mkataba....
Hivyo hapo Kakolanya ujue ana familia na soka ndio kazi yake, hivyo kama aliona halipwi ilibidi atumie mbinu nyingine kupata haki yake,

Hivyo Zahera hapaswi kumkomoa Kakolanya, kingine Yanga wajifunze hapo
 
Back
Top Bottom