Uamuzi wa CDM kuonana na Kikwete ulianzia wapi?

Mnabishana nani alianzisha uamzi huo bure .... wakati wenzenu walifaidi kahawa, Juice, korosho na kashata za uarabuni harafu nyie mkaletewa taarifa yenye kurasa moja na maneno yasiyozidi mia moja!
 
Bado sijapata majibu yaliyo sahihi hapa...may b hoja ni nyepesi bt inaweza kucost for some how...just matter of time.
 
Back
Top Bottom