Uamsho ZNZ wasambaza vipeperushi vya VITISHO!

wakiwamaliza hao wakristo visiwani ndugu zangu waislamu wabara mtabakia salama znz?TAFAKARI.

Wakiwamaliza Wakristo,watakwenda kwa watanzania bara. Baadaye watawageukia wapemba,kisha watawaangamiza wasuni au washia.Baada ya hapo watawaangamiza wenye damu ya kiarabu. Mwl. Nyerere alishatabiri hayo!
 
Kama huyo farid alipatikana.inabidi sasa watulie na wakae na serikali na kusema hasa nini wanataka.
Kutishia kuchinjana sio issue,
 
hapo ndio wanadhihirisha uhalisia wa dini yao kama ya Mungu wa kweli au ni ya shetani. jinsi wanavyoendelea kusababisha mauaji ndivyo wanavyowasilisha ujumbe kuwa mungu wao ni mungu muuaji anapenda fujo na dini yao si dini ya amani ni dini ya kigaidi. toka lini wakristo wamefanya hayo mambo ya boko haram? mmekuwa wajinga hadi mmebaki makopo tu kichwani humo, hamna hata chembe ya akili, bora hata kuku anaweza kufikiri.

Akili za wakristo wachangiaji wa JF zimechoka na hawataki kujishuhulisha kuifahamu dini ya Kiislamu then wakapata nafasi ya kuusemea uislam. Wamebaki kudandia hoja nyepesi nyepesi za wapita njia.

Mtu makini na mweledi hawezi kukurupuka na kuushambulia Uislam kwa matukio yawe ya mbagala, znz na kwengineko! Uislam haukuenea duniani kwa fujo. Waulize Jermaine Jackson, Muhammad Ally, Melanie Georgiades 'Diam' na wengine wengi iwapo walilazimishwa kuingia ktk Uislama.

Mengi yameshaelezwa kua uislam sio kuvaa kanzu na kofia au kuitwa jina lisilotumiwa na wasiokua waislam. Uislam ni stara kwa wanaofuata yaliyomo ndani yake. Ukitaka kuuhukumu uislam bila kuujua uislam wenyewe na ukaamua kufanya hivyo kwa matendo ya wale ambao kwa mtazamo wako unadhani ni waislam, ni sawa na kuamini kwamba kwa vile Wema Sepetu na Anti Ezekiel ni wakiristo basi kuonyesha 'nyeti zao' kwenye kadamnasi huo ndio ukiristo.

Wakristo wa JF jishuhulisheni kuujua Uislam ili kama mna hoja za maana nasisi waislam tuzipime kwa uzito wake. vinginevyo hamtakua mnatenda haki kwa ku uhukumu uislam kwa matendo ya wasiofuata Qu'ran na mwenendo wa Mtume Muhammad (S.A.W)
 
Akili za wakristo wachangiaji wa JF zimechoka na hawataki kujishuhulisha kuifahamu dini ya Kiislamu then wakapata nafasi ya kuusemea uislam. Wamebaki kudandia hoja nyepesi nyepesi za wapita njia.

Mtu makini na mweledi hawezi kukurupuka na kuushambulia Uislam kwa matukio yawe ya mbagala, znz na kwengineko! Uislam haukuenea duniani kwa fujo. Waulize Jermaine Jackson, Muhammad Ally, Melanie Georgiades 'Diam' na wengine wengi iwapo walilazimishwa kuingia ktk Uislama.

Mengi yameshaelezwa kua uislam sio kuvaa kanzu na kofia au kuitwa jina lisilotumiwa na wasiokua waislam. Uislam ni stara kwa wanaofuata yaliyomo ndani yake. Ukitaka kuuhukumu uislam bila kuujua uislam wenyewe na ukaamua kufanya hivyo kwa matendo ya wale ambao kwa mtazamo wako unadhani ni waislam, ni sawa na kuamini kwamba kwa vile Wema Sepetu na Anti Ezekiel ni wakiristo basi kuonyesha 'nyeti zao' kwenye kadamnasi huo ndio ukiristo.

Wakristo wa JF jishuhulisheni kuujua Uislam ili kama mna hoja za maana nasisi waislam tuzipime kwa uzito wake. vinginevyo hamtakua mnatenda haki kwa ku uhukumu uislam kwa matendo ya wasiofuata Qu'ran na mwenendo wa Mtume Muhammad (S.A.W)

nijishughulishe kuujua uislamu ili iweje? Kwa faida gani hasa katika kuujua uislamu?
 
Hawana uwezo wa kukata mtu kichwa,wanachoweza wao ni kuchoma makanisa na kuiba sadaka,computer n.k


Mpendwa Ciello.

kukata kichwa ni vigumu sana kwako, kwa hao jamaa usipinge - polisi kapigwa mapanga na kwa jina lake ni mwislam je kwa mkristo

oh usipuuze kauli za hawa jamaa.
 
nijishughulishe kuujua uislamu ili iweje? Kwa faida gani hasa katika kuujua uislamu?

Ni kweli kwako Uislam hauna faida. Kwa mantiki kwa vile kwako hauna faida isiwe kigezo cha kuukashifu. Nadhani umepitwa na ile kauli ya wenye kuelimika isemayo "bila utafiti huna haki ya kusema" ukilazimisha kusema basi utasema pumba!
 
asante Mungu kwa kuzaliwa mkristu,sijui ningekua kule ningekua na roho ya kuchinja wenzangu shingo.? Hapana.!!
 
Kwa hali hii huu muungano na hawa watu wetu wa zanzibar ufe na hatuutaki tena kwenye katiba mpya ili zanzibar wajiendeshe wanavyotaka ikiwezekana waunde hata serikali yao ya kidini ili hata hawa wakina shehe ponda waweze hamia huko zanzibar watupishe wabara tupumue.


Watupishe wala si utani. Mi ndo hapo napolilia muungano uvunjike. Ushapoteza maana, na hatuutaki..
 
Vipeperushi vinavyotishia uhai wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar vimepeperushwa mjini hapa kufuatia ghasia zinazoendelea kwa siku ya tatu mfululizo.

Kipeperushi kimojawapo kinasema: “CCM kosa letu kuwatia mbwa msikitini. Sasa tunasema kuwa basi tena litakalokuwa na liwe kwa sisi CCM basi tena umoja na CUF. Nyie CUF/Muamsho Abubakari Khamis Bakar (Waziri wa Katiba), Mussa (Kamishna wa Polisi) na Azizi (Kamanda wa Polisi Mkoa) mmeshazoea fujo na sisi sera yetu CCM sera yetu amani sasa mujiuzulu mumpishe Rais afanye kazi zake, Tumechoka na nyinyi juu ya mauaji ya askari wetu. Ondokeni murudi kwenu. Wewe Abubakar hukuanza leo na jana ufisadi kazi ya ufisadi umeizoweya hadi ulifungwa jela na mafisadi wenzako, mwishowe huku SMZ kumekuokoa.”

Wakati huo huo kuna waraka umesambazwa ambao umewatisha hofu waumini wa dini ya Kikristo nchini ukisema wote watakatwa vichwa. Waraka huo ambao unasemekana umetolewa na watu wenye kujiita jumuiya ya Uamsho umeandikwa na kusambazwa katika maeneo mbalimbali huku wenyewe wakristo wakipelekewa maofisini kwao.

Akizungumza na masikitiko, Askofu wa Kanisa la Anglikan Mkunazini, Emmanuel Masoud amesema ni wakara ambao umewastusha Wakristo kutokana na maneno mazito yalioandikwa humo ambapo ndani ya wakara huo, “Maneno yaliandikwa humu yametushitua sana sisi waumini wa dini ya Kikristo hapa Zanzibar. Kwa kwa kweli sio jambo la kupuuzia ikiwa wanasema watatukata vichwa ni jambo la hatari kabisa” alisema Masoud.

Wakizungumzia ukweli juu ya suala hilo, Sheikh Azzan amesema Jumuiya yake haihusiki na waraka wa aina hiyo na wao kama waislamu hawana sababu ya kuwatisha watu kwa kuwa wanaamini Uislamu sio dini ya kuwabagua watu wala kuwatisha watu.

Azzan alisema wapo baadhi ya watu ambao wanatumia propaganda mbaya za kutaka kuwagawa Wazanzibari katika kipindi hiki na ndiyo wanatumia kila sababu za kuwagawanya. Aliwatahadharisha wananchi kuepukana na propaganda kama hizo kwani zinaweza kuitia nchi katika pahala pabaya na kutoweka kwa amani.

“Sisi hatuhusiki na waraka huo aliyetoa waraka huo ni watu ambao wanapingana na amani iliyopo lakini pia ni watu wenye kueneza propaganda mbaya za kutaka kuwagawa Wazanzibari, jambo ambalo sisi tunaamini hatuna ugomvi, na Wazanzibari wote sisi ni ndugu, hatubagui awe ni Mkristo au Muislam, awe mweupe au mweusi, hatuwezi kubaguana kwa kuwa misingi ya dini yetu imekataza kubaguana” alisema Azzan.

IF that's TRUE it is TERRORISM; Kwahiyo Serikali ya TANZANIA inatakiwa kupeleka ISSUE UNITED NATIONS halafu ili Iweze kufuatilia MOVEMENT of MONEY to them TERRORISTS in TANZANIA.

Na, Wasiruhusiwe kwenda NJE ya NCHI... Wapewe VISA NON GRANTA!!! Wao na Watu Walio serikalini inayowasupport
 
Wakristo wako salama Z'bar kwa sababu ya Muungano, bila Muungano Z'bar ni Nchi ya Kiislamu ulimwengu unajua nao wanajua na ndio maana, kupitia UAMSHO ambao kwa bahati mbaya wanaungwa mkono na Wanasiasa hata Serikalini wanataka kuvunja Muungano .
Kwa ujuha wao wanasahau kuwa wakimaliza kuwaua Wakristo wataanza kutafutana Wapemba na Waunguja na watachinjana vivyo hivyo, mfano mzuri ni mauaji ya juzi ya PCL Said.
Wajifunze kwa ndugu zao wa Wacomoro wanavyouana kwani ni ndugu zao kwa damu na dini.
 
Kabla hawakikata kihead changu ntakuwa nshatafuna p...u..m..b...u za mtu wenyewe si wanavaa msuli tu
 
Majengo mmeyachoma moto,...anyway tutajenga mengine,
alakini la kutoa roho ya mkristo mmoja tu ! Itawakost.
Tutafanya kama waisrael wanavyofanya yaani muisraeli mmoja palestina ishirini.mkristo mmoja uamsho ishirini.FULLSTOP.
 
Naona Waislam wanatafuta kuangamizwa na Wakristo. Wajaribu waone

Ww kweli kituko kaah!! Wezako walioandika waraka huo ni wahuni, sasa na ww ni muhuni? duu aisee mm nakuchukia sana ww kwa kupenda kushabikia udini, bt Mungu si Athumani yakiaza Machafuko ya udini nakuapia ww ndio utakua mtu wa kwaza kuchinjwa we shsbikia tu.
 
Hizo ni propaganda zinazo enezwa na wasoitakia mema z'bar ili kuwatoa ktk mawazo yao ya kudai z'bar huru lakini wamecherewa hawatorudi nyuma inawezekana hivyo vipeperushi vimechapishwa kanisani kwa lengo la kuwagawa waz'bar lakini washindwe na waregee
 
Tunapaswa kusali sana kuiombea Amani nchi hii walau tufike 2015 tuweze kuiondoa ccm madarakani kwani tumeona wote jinsi inavyohatarisha amani ya hii nchi kwa chuki za udini walizopandikiza
 
WATANZANIA haya mambo ya uchochezi hayatusaidii chochote na wala hakutakuwa na mshindi. tutajengeana chuki lakini mwisho wa siku wote tutapoteza. tujifunze yaliyotokea Rwanda mwa 1994 na mifano mingine inayofanana na hiyo na kama leo kuna upande wowote unajivunia ushindi.

Nashangaa Juzi nimetumiwa ujumbe ambao hata akili ya mtoto mdogo haiwezi kukubali kwamba kuna meli mbili zenye silaha zinakuja kutoka Zanzibar kuchoma makanisa huku bara hivyo wakristo tukeshe kwa maombi Mwokozi YESU atuepushie janga hilo... tunaandaa au tunajenga nini hapa?

Mimi katika familia yangu tumechanganyika Waislam kwa wakristo na tunaishi kwa upendo siku zote sasa sijui mnaoshabikia mgawanyiko kama familia zenu hazitaathirika au ni Ujinga wa kufikiri na kutawaliwa na chuki mioyoni!
 
Akili za wakristo wachangiaji
wa JF zimechoka na hawataki kujishuhulisha kuifahamu dini ya Kiislamu
then wakapata nafasi ya kuusemea uislam. Wamebaki kudandia hoja nyepesi
nyepesi za wapita njia.

Mtu makini na mweledi hawezi kukurupuka na kuushambulia Uislam kwa
matukio yawe ya mbagala, znz na kwengineko! Uislam haukuenea duniani kwa
fujo. Waulize Jermaine Jackson, Muhammad Ally, Melanie Georgiades
'Diam' na wengine wengi iwapo walilazimishwa kuingia ktk Uislama.

Mengi yameshaelezwa kua uislam sio kuvaa kanzu na kofia au kuitwa jina
lisilotumiwa na wasiokua waislam. Uislam ni stara kwa wanaofuata
yaliyomo ndani yake. Ukitaka kuuhukumu uislam bila kuujua uislam wenyewe
na ukaamua kufanya hivyo kwa matendo ya wale ambao kwa mtazamo wako
unadhani ni waislam, ni sawa na kuamini kwamba kwa vile Wema Sepetu na
Anti Ezekiel ni wakiristo basi kuonyesha 'nyeti zao' kwenye kadamnasi
huo ndio ukiristo.

Wakristo wa JF jishuhulisheni kuujua Uislam ili kama mna hoja za maana
nasisi waislam tuzipime kwa uzito wake. vinginevyo hamtakua mnatenda
haki kwa ku uhukumu uislam kwa matendo ya wasiofuata Qu'ran na mwenendo
wa Mtume Muhammad (S.A.W)

wataufahamu vipi uislam ikiwa maustaadhi wengi wana biblia mkononi na YESU midomoni mwao?
 
Back
Top Bottom