Uamsho ZNZ wasambaza vipeperushi vya VITISHO! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uamsho ZNZ wasambaza vipeperushi vya VITISHO!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kyannala nabiso, Oct 20, 2012.

 1. kyannala nabiso

  kyannala nabiso JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 611
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Vipeperushi vinavyotishia uhai wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar vimepeperushwa mjini hapa kufuatia ghasia zinazoendelea kwa siku ya tatu mfululizo.

  Kipeperushi kimojawapo kinasema: "CCM kosa letu kuwatia mbwa msikitini. Sasa tunasema kuwa basi tena litakalokuwa na liwe kwa sisi CCM basi tena umoja na CUF. Nyie CUF/Muamsho Abubakari Khamis Bakar (Waziri wa Katiba), Mussa (Kamishna wa Polisi) na Azizi (Kamanda wa Polisi Mkoa) mmeshazoea fujo na sisi sera yetu CCM sera yetu amani sasa mujiuzulu mumpishe Rais afanye kazi zake, Tumechoka na nyinyi juu ya mauaji ya askari wetu. Ondokeni murudi kwenu. Wewe Abubakar hukuanza leo na jana ufisadi kazi ya ufisadi umeizoweya hadi ulifungwa jela na mafisadi wenzako, mwishowe huku SMZ kumekuokoa."

  Wakati huo huo kuna waraka umesambazwa ambao umewatisha hofu waumini wa dini ya Kikristo nchini ukisema wote watakatwa vichwa. Waraka huo ambao unasemekana umetolewa na watu wenye kujiita jumuiya ya Uamsho umeandikwa na kusambazwa katika maeneo mbalimbali huku wenyewe wakristo wakipelekewa maofisini kwao.

  Akizungumza na masikitiko, Askofu wa Kanisa la Anglikan Mkunazini, Emmanuel Masoud amesema ni wakara ambao umewastusha Wakristo kutokana na maneno mazito yalioandikwa humo ambapo ndani ya wakara huo, "Maneno yaliandikwa humu yametushitua sana sisi waumini wa dini ya Kikristo hapa Zanzibar. Kwa kwa kweli sio jambo la kupuuzia ikiwa wanasema watatukata vichwa ni jambo la hatari kabisa" alisema Masoud.

  Wakizungumzia ukweli juu ya suala hilo, Sheikh Azzan amesema Jumuiya yake haihusiki na waraka wa aina hiyo na wao kama waislamu hawana sababu ya kuwatisha watu kwa kuwa wanaamini Uislamu sio dini ya kuwabagua watu wala kuwatisha watu.

  Azzan alisema wapo baadhi ya watu ambao wanatumia propaganda mbaya za kutaka kuwagawa Wazanzibari katika kipindi hiki na ndiyo wanatumia kila sababu za kuwagawanya. Aliwatahadharisha wananchi kuepukana na propaganda kama hizo kwani zinaweza kuitia nchi katika pahala pabaya na kutoweka kwa amani.

  "Sisi hatuhusiki na waraka huo aliyetoa waraka huo ni watu ambao wanapingana na amani iliyopo lakini pia ni watu wenye kueneza propaganda mbaya za kutaka kuwagawa Wazanzibari, jambo ambalo sisi tunaamini hatuna ugomvi, na Wazanzibari wote sisi ni ndugu, hatubagui awe ni Mkristo au Muislam, awe mweupe au mweusi, hatuwezi kubaguana kwa kuwa misingi ya dini yetu imekataza kubaguana" alisema Azzan.
   
 2. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 1,986
  Likes Received: 1,043
  Trophy Points: 280
  Ile slogan ya kiislam inayosema "ukicheza na mbwa utaingia naye msikitini" sasa inatimia. Serikali imecheza na kuwachekea hawa Uamsho sasa wanaua watu tena kwa matangazo yatolewayo mchana kweupeeee, na bado hakuna hatua zinazochukuliwa...

  Huyo "Mbwa" nyie Serikali mtaingia naye "msikitini".
   
 3. s

  sambamba Senior Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wapi wanafiki wakubwa waueni basi tuone kama na nyie mtaishi
   
 4. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  najaribu ku-imagine kama kuivamia zanzibar na kuchinja itachukua siku ngapi. Imagine Rwanda genocide ililamba over 1 milioni people. Zanzibar wako milioni moja. Acha wawachinje wakristo! Tusiende huko wapendwa tusije kuwa kama Rwanda kilipizana kisasi.
   
 5. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,948
  Likes Received: 37,476
  Trophy Points: 280
  Civil war in Tanzania is around the corner.
   
 6. m

  mr.dominick JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hao ni walafi tu kwenye CCM , kula inawakimbia ndio wanazusha haya kwani karibu Zanzibar yao wataichukua wenyewe sisi bado na mawazo mgando tunashindwa kuanzisha Jamhuri yetu ya Tanganyika kwa uwoga wetu na ufala wetu
   
 7. WISE BOY

  WISE BOY JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 787
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Eeeh Mwenyezi Mungu tusaidie, tupe kiongozi makini
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,268
  Likes Received: 19,412
  Trophy Points: 280
  ukicheza na mbwa utaingia naye msikitini
   
 9. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,259
  Likes Received: 1,195
  Trophy Points: 280
  na bado
   
 10. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Naona Waislam wanatafuta kuangamizwa na Wakristo. Wajaribu waone
   
 11. n

  nemasisi JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 1,881
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ni dalili ya serikali kuwa dhaifu sana, tatizo mwanzoni watu walipokuwa wakitoa mawazo ya namna hii wengine haraka walikuwa wanadai ni chuki binafsi au wanaokosoa kudaiwa wanafanya hivyo kwa sababu ya dini, leo tunashuhudia na kusikia mambo ya ajabu kabisa ya majangili waliogundua udhaifu wa hizi serikali mbili na wanataka kuchukua nafasi kutimiza mambo yao, angekuwa mkapa vijimambo vya kuchoma makanisa au kutishia kuwachinja mashekhe nani angethubutu? Nna uhakika saiv hao uamsho na viongozi wao wangekuwa mombasa wanapata misaada ya wakimbizi!
   
 12. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Roho ya kuzimu ya mauaji inainyemelea Tanzania!!!
   
 13. Jolebatawi

  Jolebatawi JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 548
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Kwa hali hii huu muungano na hawa watu wetu wa zanzibar ufe na hatuutaki tena kwenye katiba mpya ili zanzibar wajiendeshe wanavyotaka ikiwezekana waunde hata serikali yao ya kidini ili hata hawa wakina shehe ponda waweze hamia huko zanzibar watupishe wabara tupumue.
   
 14. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hawana uwezo wa kukata mtu kichwa,wanachoweza wao ni kuchoma makanisa na kuiba sadaka,computer n.k
   
 15. k

  katalina JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye red. Mjini hapa, wapi? Kigoma, au.....................
   
 16. M

  Makaura JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 893
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mmh kwa hz chokochoko za wenze2, nimeona visiwa vya unguja na pemba kama inaelekea kua Hiroshima na Nagasaki
   
 17. juve2012

  juve2012 JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 3,336
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 0
  wakiwamaliza hao wakristo visiwani ndugu zangu waislamu wabara mtabakia salama znz?TAFAKARI.
   
 18. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #18
  Oct 20, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 180
  tatizo lao wanadhani wao tu ndiyo wanaume, let them try to play the music waone.
  Kwani wao hawana damu, kwani ni wao tu ndiyo wanaoruhusiwa kununua visu na
  mapanga dukani. Let them try, for sure they will also die, no matter what comes
  they will die, the word islam does not mean peace as they proclaim but submission,
  ask any religious scholar he/she will tell you that.

  I will never submit to it, I say it loudly again, I will never, never submit to it
   
 19. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #19
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hapo ndio wanadhihirisha uhalisia wa dini yao kama ya Mungu wa kweli au ni ya shetani. jinsi wanavyoendelea kusababisha mauaji ndivyo wanavyowasilisha ujumbe kuwa mungu wao ni mungu muuaji anapenda fujo na dini yao si dini ya amani ni dini ya kigaidi. toka lini wakristo wamefanya hayo mambo ya boko haram? mmekuwa wajinga hadi mmebaki makopo tu kichwani humo, hamna hata chembe ya akili, bora hata kuku anaweza kufikiri.
   
 20. MPEPE

  MPEPE Member

  #20
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 20, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
   
Loading...