uamsho waibuka rasmi adhuhuri leo

Zenji inaongozwa na magamba na magamba wameapa kuulinda muungano .
So wakitaka kufanikiwa hilo waanye kuidindia ccm kwanza
 
umenikumbusha baba mmoja niliwah kukutana nae mitaa ya posta hapa dar akanisimulia kisa cha maisha yake na jinsi ambavyo Mwl alimuwajibisha lolest! ameishia kuish maisha ya dhiki hadi leo.

Huyo jamaa hadi leo anaishi maisha ya 'DHIKI' lakini je Mwalimu wako Nyerere yeye yuko wapi? Am sure he is in the HELL.
 
Back
Top Bottom