lengo ni kuitetea zanzibar kua huru.kundi hilo lilobahatika nakua na wafuasi wengi zanzibar limetoa tamko rasmi leo adhuhur katika msikini wa mbuyuni mjini magharibi zanzibar juu ya kuitaka zanzibar kua huru.
Kwanini msikitini na siyo kanisani..
May i differ with you.hili ni bomu na ndo linakaribia kuexpire soon litalipuka naiona mbagala /gongo la mboto iyoooo
May i differ with you.
Sioni bomu lolote hapa. Ni high time kumjua huyo aliyetangaza hilo na kudeal naye squarely! Wapuruzi wawili watatu hawawezi kutukosesha usingizi.
Weka ndani wote na masharti magumu kabisa ya dhamana, maana ni wahaini hawa.
Enzi za Mwalimu watu wa hivi walipotezwa kimyakimya.m
Kwanini msikitini na siyo kanisani..
Asilimia kubwa ya wazeni ni waislamu.its 99.9 percent.
Kwani idadi inaruhusu kuvunjwa kwa katiba?
Kwanini msikitini na siyo kanisani..
99% ya wazanzibari ni muslims,,, may be wakaamua kutumia msikiti.
Ila kwa msikiti wa mbuyuni ni ngome ya c.u.f so wameamua kutumia masjid coz kisiasa wasingefanikiwa
Kwanini msikitini na siyo kanisani..
Hawajakoma tu??
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
umenikumbusha baba mmoja niliwah kukutana nae mitaa ya posta hapa dar akanisimulia kisa cha maisha yake na jinsi ambavyo Mwl alimuwajibisha lolest! ameishia kuish maisha ya dhiki hadi leo.